figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,658
- 55,485
Naibu Waziri Ngonyani amesema Tanzania inapoteza Bilioni 18 kila mwaka kutokana na sehemu ya anga lake kudhibitiwa na Kenya.
Ikiwezekana wamiliki anga lote tu labda wananchi wataikataa CCMNaibu Waziri Ngonyani amesema Tanzania inapoteza Bilioni 18 kila mwaka kutokana na sehemu ya anga lake kudhibitiwa na Kenya.
Halafu unamuweka Lowassa au sumaye mkuu?Ikiwezekana wamiliki anga lote tu labda wananchi wataikataa CCM
Pole.Inauma sana
Naibu Waziri Ngonyani amesema Tanzania inapoteza Bilioni 18 kila mwaka kutokana na sehemu ya anga lake kudhibitiwa na Kenya.