Sehemu ya Anga la Tanzania linadhibitiwa na Kenya

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,485
54,855
Naibu Waziri Ngonyani amesema Tanzania inapoteza Bilioni 18 kila mwaka kutokana na sehemu ya anga lake kudhibitiwa na Kenya.
 
Upande huu Rwanda, upande huu Malawi, upande huu Kenya, afu bado sehemu ya bahari ya hindi Kenya wanadhibiti....tumelaaniwa kama nchi?

Mambo ya mchanga.....jamani tumevimbiwa na majanga ya wabunge wa ndiyooooooo.
 
Sasa kama tumezubaa kwanini wasilidhibibi? Miaka 50 chini ya chama kubwa bado hata uwezo wa kudhibiti anga letu hatuna, halafu tunang'ang'ania kuwa nchi ya viwanda wakati sehemu ya anga letu inadhibitiwa na wengine.
 
Watasema mikataba ya umilikishaji anga iliingiwa na wapinzani na mazwazwa wataitikia "amen kama sio ndiyooo"
 
Naibu Waziri Ngonyani amesema Tanzania inapoteza Bilioni 18 kila mwaka kutokana na sehemu ya anga lake kudhibitiwa na Kenya.


Boss figganigga Ebu jazia jazi nyama habari yako. Au tupe Source yako. Tupate kuelewa. Anga letu limedhibitiwaje na Kenya? Kivipi?

My Take: Serikali inabidi ifanyie kazi hizi Taarifa. Moja Kagame anataka Sehemu, Ziwa Nyasa, Malawi wanataka Ziwa lote. Huku Kenya wanataka Anga. Mweeee ....
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom