Sehemu ya Anga la Tanzania linadhibitiwa na Kenya

Siku wale wabunge wa ndiooo wakipata akili na kutamka HAPANAAA siku hizo tanzania ndo itaanza kudhibiti na kunufaika na mali zake, na maendeleo ya kweli yataonekana, unafiki utaisha
 
Magumashi hajui chochote juu ya Mambo ya anga Jamaniiiii!

Anachoweza ni push-up basi!

Haya Mambo yapo beyond his IQ

Hilo anga lingine wapeni tu Rwanda wamalizie!
 
Back
Top Bottom