Sehemu tano za kushangaza duniani

5. Volcanic Lightning in Iceland

Ukienda eneo hili volcano yake ni ya tofauti kabisa na maeneo mengine kwani eneo hili volcano yake ni hatari zaidi, inatoka na radi pamoja na umeme, tofauti na maeneo mengine.

Maybe this is due to very cold climate in Iceland and volcano (molten magma) is very hot so on top of mountain we are seeing Sparks and lightning because of very hot gases(air)and very cold air meet together.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dunia ina maajabu

Sent from my TECNO K8 using Tapatalk
 
ili eneo halikutokea tu likawaka moto kwanza haliko Urusi ila liko turkmenistan. Walipogundua gas ma engineer kanjanja wa huko wakaanza kujenga miundombinu ya kuivuna, lakini bahatimbaya ardhi ikadidimia na kuacha shimo huku gas ya methane ikisambaa na ni hatari sana. Eti wakaja na wazo bora kwa mujibu wa mawazo yao wakaamua kuwasha moto kuzuia kuendelea kusambaa kwa hiyo gas. Toka kipindi hicho huo motounawaka tu.
NChi hiyo ina raisi ambaye ni msanii wa mziki halafu akitoa nyimbo lazima raia na mawaziri wazikalili waziimbe. Halafu anapenda kuuza sura hatari kwanza anashiriki mbio za magari. China ndiye mnunuzi mkubwa wa gas hiyo
 
nilitegemea ningeikuta gamboshi, na Yale mawe yanayocheza kule ukerewe
Gamboshi nasikia ukienda mchana hamna kitu ila usiku unakuta bonge la jiji.
 
kuna watu hapa wanaleta matango pori daily Ahsante mkuu kwa kumdungua huyu
 
Nimeongeza kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…