joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 19,413
- 41,556
Ukifikia hatua hii ya mahusiano ni bora mkaachana tu, haina maana tena ya kuendelea kama hamfurahii kuwa pamoja.
Umenishinda wa kwetu...Kufa kipamoja kupoje na kuna faida gani kwa mtu anaekufa wakwetu?π
Wewe siwezi kufanya hivyo wa kwetu unajua kabisaπUmenishinda wa kwetu...
Solution ni moja tu kufunga na kuombaπ¬π¬π¬Afya ya akili kwa wanaume imekua tatizo linalokua kwa kasi sana na kusababisha matatizo na majanga ambayo tumekua tukiyasikia kila siku.
Naomba kuuliza wanaume mliopo JF:
- Huwa unazungumza na nani kuhusu matatizo au changamoto binafsi ulizonazo?
- Je ukikwama kikazi, kibiashara, kimahusiano n.k, msaada huwa unapata wapi?
- Una mtu maishani ambaye unaweza kumwambia mambo yako ya ndani kwa uhuru bila kuogopa kuwa judged (kuhukumiwa au kuonekana ndivyo sivyo)?
- Una mambo au vitu unavyopenda kufanya wewe mwenyewe ambavyo vinakupa furaha?
- Unaamini kwenye kutafuta msaada wa kisaikolojia au kitabibu (therapy / couseling) pale utakapoelemewa au watu wakikishauri kufanya hivyo?
Nauliza genuinely kwa sababu nataka kujifunza kama mama wa watoto wa kiume ambao watakuja kuishi kama wanaume kwenye jamii zetu siku za usoni.
Daaahhhh yani unamaanisha kufa ni kufa tu, haijalishi uwe umezungukwa na wakupendao au umetelekezwa alone π π π π πKufa kipamoja kupoje na kuna faida gani kwa mtu anaekufa wakwetu?π
YahDaaahhhh yani unamaanisha kufa ni kufa tu, haijalishi uwe umezungukwa na wakupendao au umetelekezwa alone π π π π π
Wakati vuguvugu la usawa wa kijinsia limeanza kupamba moto hapa duniani kuna kitu kimoja cha muhimu sana watu hawakukifikiria.Sehemu pekee salama ya mwanaume ni moyoni mwake mwenyewe kwa kifupi dunia haijawahi kuwa na huruma kwa mwanaume.
Ndio maana mwanaume inabidi utulize kichwa sana,kwenye kuchagua mke wa kuoa inatakiwa maamuzi uyafanye kwa kutumia akili na si tamaa za mwili.
Sometimes hata hawa unao waona wanakesha bar na kuwa watu mitungi sometimes msiwalaumu sana.
Ila dada yangu sikushangai sio wewe peke yako mwenye hofu, nilishatizama clip moja ya mwanaharakati/mfeminist US, alianza kubadilisha mitizamo alivyopata mjukuu wa kiume na aliona gap kubwa sana kati ya nafasi anayopewa mtoto wa kike na kiume na hata mbele wanaharakati wengi wanao push haki za wanaume ni wanawake kwani kuna vitu wameviona vinamkandamiza mwanaume baada ya kupata watoto wa kiume.
Maisha ni pata potea hayana maana.Daah π₯Ή basi tuombe mambo yasije kuwa magumu ukafikia huko.
View attachment 3257535
π€£π€£π€£We nipende kama nilivyobhana...wewe ni very special π₯΄Kwan na mimi nipo kwenye hizo Mbuzi jamani,sikuiona hii.
Nakupenda tu baby wangu ila mimi ni Single father.π€£π€£π€£We nipende kama nilivyobhana...wewe ni very special π₯΄