Moneyowner
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,422
- 1,254
99.8% True huku hata BP hakuna. Kama unakausaifiri kako unaksnyanga mafuta mpaka baasi barabara nyeupeee.Kwa mtazamo wangu, haya ndio maeneo mazuri ya kuishi Hapa Tanzania. Gharama za maisha ziko Chini na hali ya hewa ni nzuri pia mzunguko wa pesa upo.
1. Mbeya
2. Arusha
3. Tarime
4. Mwanza
5. Moshi
6. Moro
7. Kahama
8. Iringa
Mishe Mishe zinaenda fasta ile mbaya.