J Juma2002 Member Joined Aug 15, 2018 Posts 22 Reaction score 33 Sep 8, 2018 #1 Jamani waungwana wekendi nimeingia tabora, mwenye kuijua anielekeze wapi nikale bata na nitapata viburudisho au mambo yetu yaleeee mana nasikia kuna vichotara vyakutosha..nielekezeni jamani
Jamani waungwana wekendi nimeingia tabora, mwenye kuijua anielekeze wapi nikale bata na nitapata viburudisho au mambo yetu yaleeee mana nasikia kuna vichotara vyakutosha..nielekezeni jamani
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,372 Reaction score 55,027 Sep 8, 2018 #2 Mambo yenu yale na nani? Na ni mambo gani hayo.
Tulimumu JF-Expert Member Joined Mar 11, 2013 Posts 14,395 Reaction score 13,266 Sep 8, 2018 #3 Mbao za Mawe said: Mambo yenu yale na nani? Na ni mambo gani hayo. Click to expand... Kuna mtu mmoja mkubwa tu ingawa anajiita kichaa alisema katikati ni pazuri
Mbao za Mawe said: Mambo yenu yale na nani? Na ni mambo gani hayo. Click to expand... Kuna mtu mmoja mkubwa tu ingawa anajiita kichaa alisema katikati ni pazuri
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,372 Reaction score 55,027 Sep 8, 2018 #4 Tulimumu said: Kuna mtu mmoja mkubwa tu ingawa anajiita kichaa alisema katikati ni pazuri Click to expand... Mna mambo yenu na huyo jamaa?
Tulimumu said: Kuna mtu mmoja mkubwa tu ingawa anajiita kichaa alisema katikati ni pazuri Click to expand... Mna mambo yenu na huyo jamaa?
Tulimumu JF-Expert Member Joined Mar 11, 2013 Posts 14,395 Reaction score 13,266 Sep 8, 2018 #5 Mbao za Mawe said: Mna mambo yenu na huyo jamaa? Click to expand... Jamaa anaongea kama MC hata kumbu kumbu huwa hana kabisa
Mbao za Mawe said: Mna mambo yenu na huyo jamaa? Click to expand... Jamaa anaongea kama MC hata kumbu kumbu huwa hana kabisa
Waterloo JF-Expert Member Joined Nov 30, 2010 Posts 25,351 Reaction score 38,941 Sep 8, 2018 #6 Nenda Orion hotel karibu na station.
Mbushuu JF-Expert Member Joined Aug 3, 2011 Posts 2,180 Reaction score 3,419 Sep 8, 2018 #7 Vijana wa mboka
DATABASEE JF-Expert Member Joined Oct 23, 2014 Posts 588 Reaction score 586 Sep 8, 2018 #8 Tukutane Whatapps then tujisogeze Oxygen
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 44,197 Reaction score 104,813 Sep 8, 2018 #9 sehemu mzuri pa kula bata ni sehemu za mapajani ndo ana nyama nyama za kutosha.
Herymiller JF-Expert Member Joined Jul 8, 2018 Posts 613 Reaction score 861 Sep 9, 2018 #10 Wazeee wa kaliua
J Juma2002 Member Joined Aug 15, 2018 Posts 22 Reaction score 33 Sep 9, 2018 Thread starter #11 Nataka watoto wazuri jamani hapa tabora nitapata wapi
and 998 others JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 27,921 Reaction score 39,116 Jan 15, 2019 #12 Tabora unakula bata au unahatarisha maisha kwa virusi (toka kwa baamedi) na kunywa sumu (wenyewe mnaita bia)? Hebu angalia wanaokula bata
Tabora unakula bata au unahatarisha maisha kwa virusi (toka kwa baamedi) na kunywa sumu (wenyewe mnaita bia)? Hebu angalia wanaokula bata