Sehemu nzuri kwenda siku za weekend

Sehemu nzuri kwenda siku za weekend

Wakuu wana JF,

Naomba mwenye kufahamu a suggest sehemu gani nzuri kwa hapa Dar ambayo imetulia naweza kwenda siku za weekend ambapo naweza kukaa na Laptop yangu nikafanya ishu ndogo ndogo, surfing etc huku nikiwa nakunywa maji au juice or even drinking beer etc.

1. Yaweza kuwa sehemu yenye mandhari nzuri or ukumbi flan etc
2. Pawe pana access ya Umeme
3. Pawe pana Parking

Nitashukuru kwa mwenye uwezo wa kushauri eneo hilo.

Asanteni

Karibu samaki samaki
 
Cheki kulivyotulia, jamani kitu mji kasoro bahari raha ilioje huku. Karibuni

Hii hotel ya KIBO PEAK ipo pale OIL COM.baada ya nanenane nimelala aisee, hotel ina vyumba vizuri,ac, hot water, ipo poa kwa kweli....!Moro patamu
 
Huwa nasikia watu wengi hapa Dar wakisema wanakwenda mapumziko mji kasoro bahari... japo sijui ni nini special hukO
Naomba kujuzwa; lodge gani za mji kasoro bahari zilizopo nje ya mji ambazo watu wa kawaida wanafika bei?
Bei zake zikoje
 
nenda bonde la SUKITA pale kwa kweli hutojuta kuna upepo mwanana na mandhali yake ya minazi minazi ni km upo zenji
 
Kamanda naona signature yako "We are anonymous, we are legion. We donot forgive. We do not forget. Expect us" ni ya wale jamaa wanaharakati wa Freedom and Privacy of the internet au maarufu kwa jina la "Anonymous" wakivalia Guy Fawkes mask...nakupongeza kwa kuona uhitaji wa maneno haya katika spirit ya kiana harakati.

Napenda uangalie movie ya "V for Vendetta" ili uipalilie vizuri spirit hiyo...so inspirational!!!

Kila la Heri...

Asante sana mkuu, naidownload hapa!
 
Mkuu, shukrani kwa kuweka wazi hii muvi, maana mi mgonjwa wa vitu hivi vya kujifunza vitu viwili vitatu!
 
Travellers Bagamoyo Acha tu hakuna sehemu kama ile Garden imetulia una drive mpaka chumbani kwaki kila mtu ana kinyumba chake ambacho kina act kama private rooms It's a very nice place na Beach imetulia
 
Back
Top Bottom