Sehemu nzuri kwenda siku za weekend

Sehemu nzuri kwenda siku za weekend

WE ARE ANONYMOUS

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2015
Posts
217
Reaction score
284
Wakuu wana JF,

Naomba mwenye kufahamu a suggest sehemu gani nzuri kwa hapa Dar ambayo imetulia naweza kwenda siku za weekend ambapo naweza kukaa na Laptop yangu nikafanya ishu ndogo ndogo, surfing etc huku nikiwa nakunywa maji au juice or even drinking beer etc.

1. Yaweza kuwa sehemu yenye mandhari nzuri or ukumbi flan etc
2. Pawe pana access ya Umeme
3. Pawe pana Parking

Nitashukuru kwa mwenye uwezo wa kushauri eneo hilo.

Asanteni
 
Kipepeo mjimwema, sema foleni ya feri itakukatisha tamaa
Pugu hills, ila kuingia mpaka booking. Google website yao ufanye booking hata kwa sms wanajibu
 
Wakuu wana JF,

Naomba mwenye kufahamu a suggest sehemu gani nzuri kwa hapa Dar ambayo imetulia naweza kwenda siku za weekend ambapo naweza kukaa na Laptop yangu nikafanya ishu ndogo ndogo, surfing etc huku nikiwa nakunywa maji au juice or even drinking beer etc.

1. Yaweza kuwa sehemu yenye mandhari nzuri or ukumbi flan etc
2. Pawe pana access ya Umeme
3. Pawe pana Parking

Nitashukuru kwa mwenye uwezo wa kushauri eneo hilo.

Asanteni

Wewe ni mgeni?! Vipi bajeti yako?! Sehemu nyingine juice 5000/-
 
Nenda sebleni, nyumbani kwako. Hutajuta!
 
Njoo mji kasoro bahari ujionee
 
Attachments

  • 1427726457618.jpg
    1427726457618.jpg
    161.5 KB · Views: 715
Huko ndo starehe yangu iliko, unabadili hali ya hewa saaaafi ukimaliza unarudi jijini kutengeneza uchumi na foleni juu

Cheki kulivyotulia, jamani kitu mji kasoro bahari raha ilioje huku. Karibuni
 
Attachments

  • 1427728051347.jpg
    1427728051347.jpg
    123.1 KB · Views: 659
Samahani lakini Bro, hivi unaonaje ukatumia weekend yako kuzunguka say vituo vya watoto yatima na wennye special needs,ukashare upendo wako kwa kuwafulia, kucheza nao kula nao mchana na jioni kupiga nao story...hakika utaenjoy...samahani lakini!
 
Njoo mji kasoro bahari ujionee

Weekend moja niliitumia morogoro,mandhari ya asubuhi iliniburudisha Sana! Kuangalia FOG mlimani na kusikia sauti za ndege wakiimba,ni raha Sana! Mchana nikasogea mikumi national park! Ngoja nitaabike hapa DAR stress level ikipanda Sana naibuka Moro!
 
Cape town fish market full upepo wa bahari,parking,free WI FI ila jiandae coz soda buku 5,beer buku 7
 
Wakuu wana JF,

Naomba mwenye kufahamu a suggest sehemu gani nzuri kwa hapa Dar ambayo imetulia naweza kwenda siku za weekend ambapo naweza kukaa na Laptop yangu nikafanya ishu ndogo ndogo, surfing etc huku nikiwa nakunywa maji au juice or even drinking beer etc.

1. Yaweza kuwa sehemu yenye mandhari nzuri or ukumbi flan etc
2. Pawe pana access ya Umeme
3. Pawe pana Parking

Nitashukuru kwa mwenye uwezo wa kushauri eneo hilo.

Asanteni

Kuna sehemu moja kinondoni inaitwa uhuru peak ni sehemu nzuri sana
 
Wakuu wana JF,

Naomba mwenye kufahamu a suggest sehemu gani nzuri kwa hapa Dar ambayo imetulia naweza kwenda siku za weekend ambapo naweza kukaa na Laptop yangu nikafanya ishu ndogo ndogo, surfing etc huku nikiwa nakunywa maji au juice or even drinking beer etc.

1. Yaweza kuwa sehemu yenye mandhari nzuri or ukumbi flan etc
2. Pawe pana access ya Umeme
3. Pawe pana Parking

Nitashukuru kwa mwenye uwezo wa kushauri eneo hilo.

Asanteni

Kamanda naona signature yako "We are anonymous, we are legion. We donot forgive. We do not forget. Expect us" ni ya wale jamaa wanaharakati wa Freedom and Privacy of the internet au maarufu kwa jina la "Anonymous" wakivalia Guy Fawkes mask...nakupongeza kwa kuona uhitaji wa maneno haya katika spirit ya kiana harakati.

Napenda uangalie movie ya "V for Vendetta" ili uipalilie vizuri spirit hiyo...so inspirational!!!

Kila la Heri...
 
mkuu hii muvi ni heshima.
 
Back
Top Bottom