Mbangubangu
Senior Member
- May 6, 2013
- 188
- 70
Wadau nina safari ya siku mbili ktk mji wa bukoba wkend hii wapi sehemu safi kula bata.
Kule labda ule bata btn legs.
Wadau nina safari ya siku mbili ktk mji wa bukoba wkend hii wapi sehemu safi kula bata.
bata hana sehemu chafu, zote safi, watu wanakula hadi utumbo.Wadau nina safari ya siku mbili ktk mji wa bukoba wkend hii wapi sehemu safi kula bata.
Kwenye Makaburi ya Mv Bukoba.
Jioni nenda eneo la Bukoba club , hapo utaburudika na ndizi, nyama choma na vinywaji , ikifika mida ya sa 5 usiku ndo kumekucha unaingizana viwanja vya Linas night club kucheza mziki mpaka sa 8 usiku , unatoka nje ya club unavuka barabara unaingia Victorious Perch Hotel kupata usingizi mwanana.
walkgard au victoria peck pako poa...bukoba club baridi sana usiku..au nenda kwa remy nyamkazi