Sehemu (frame) kwa ajili ya biashara inahitajika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sehemu (frame) kwa ajili ya biashara inahitajika

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Albedo, May 10, 2011.

 1. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #1
  May 10, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Jamani wana Jamvi naomba kama kuna Mtu anaweza kunisaidia kwa namna yeyote ile kupata Sehemu jijini Dar niweze kufungua Biashara ya Stationery

  Eneo liwe ni Potentila kwa Biashara husika yaani Nikipata Maeneo ya Vyuo au Sekondari Nitafurahi

  Mwenye nayo au anayewa kunisaidia kupata anaweza kuni PM au akamwaga info hapa hapa

  Asanteni
   
 2. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #2
  May 11, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Nakumbushia
   
Loading...