jackson george
Senior Member
- Sep 3, 2012
- 107
- 6
Mm nikijana niliyemaliza mwaka 2015 udom.
Nimesoma applied geology
nipo morogoro msahada wa kampuni au sehem naweza pata internship position ili nipate kauzoefu kidogo
Sio lazima malipo
Ahsante
Nimesoma applied geology
nipo morogoro msahada wa kampuni au sehem naweza pata internship position ili nipate kauzoefu kidogo
Sio lazima malipo
Ahsante