Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,347
- 26,153
Kocha mpya wa AC Milan, Mholanzi Clarence Seedorf ameanza kibarua chake kama Kocha kwa ushindi dhidi ya Hellas Verona wa bao 1-0. Hiyo ni dalili njema kwa Seedorf kama kocha wa Rossoneri.Hellas Verona wako nafasi ya 6 katika Serie A. Hatahivyo,Milan imejikuta katika nafasi ya 11 katika msimamo wa Serie A ikiwa na alama 25 baada ya michezo 20.
Viva Seedorf,viva Milan!.................Forza Milan!
cc Gang Chomba
Viva Seedorf,viva Milan!.................Forza Milan!
cc Gang Chomba