sijui nini
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 2,553
- 1,285
Last edited by a moderator:
wangefanya la maana sana kama watamuenzi kwa kuendeleza muvi zake..
watu wengi wanatamani iwe hivyo..ila officially as a group bado hawajasema lolote nadhani.. dah ila hii ya FF7 pale mwisho wanavyoagana ukijumlisha na haka ka wimbo ...basi tu!!lle franchise inaendelea mbona, shaka ondoa.
watu wengi wanatamani iwe hivyo..ila officially as a group bado hawajasema lolote nadhani.. dah ila hii ya FF7 pale mwisho wanavyoagana ukijumlisha na haka ka wimbo ...basi tu!!