Btw nokia phone division wiki hii imejununuliwa na Microsoft
Microsoft nadhani unajua fika Kuwa walikuwa wa kwanza Kutpa data na kushirokiana na NSA pamoja na mashirika mengine ya ujasusi Kutoa data za watu kabla ya PRISM
Je is it a coincidence Jamaaa kununua hiyo phone division?
Labda hiyo ya pirates bay
RIM bado ni Wazuri japo hiyo blackberry iko on the market as well