mzee wa giningi
JF-Expert Member
- Nov 1, 2016
- 519
- 336
Security manager wa mgodi wa north Mara gold mine ambao upo chini ya acacia amefungua kampuni yake ya walinzi kutoka nje ya nchi wazungu Hawa ni walinzi mgodini hapa hawana kibali cha kufanya kazi hapa Tanzania kampuni hiyo inaitwa ASSEYE security, wanawapelekesha wafanyakazi wa kitanzania na kuwafukuzisha kazi Bila utaratibu ili huyu security manager ambaye anaitwa heaney alete wazungu wenzake wafanye kazi kinyume na Sheria.
Naiomba serikali yetu sikivu kuwafukuza Hawa wazungu wanaofanya kazi bila kibali na hii kampuni Ya Asseye security haijasajiliwa kisheria lakini inafanya kazi.
OCD nyamwaga, tarime anashirikiana na security manager huyu kuleta wazungu kinyume cha sheria zetu na security manager huyu ananyanyasa watanzania wanaofanya kazi kwenye mgodini huo kwa kuwafukuza kazi bila sababu yeyote.
Mkuu hii issue ipo serious Hawa wazungu wanyanyasa sana wazawaTupia ka picha ka mlinzi mmoja mzungu wa Acacia akiwa mzigoni na gobole lake ili
kuongeza utamu wa habari yako.
vinginevyo tutaiweka kwenye kundi la chai maharage ya mchana.
Wahuni sana Hawa watuAcacia hivi bado wanaendelea na uzalishaji na scandal zote hizi
Tupia basi kapicha ka mzungu akiwa na gobole lake hapo site.Mkuu hii issue ipo serious Hawa wazungu wanyanyasa sana wazawa
Kwa sheria yetu inaruhusu kufungua kampuni Bila kuisajiri?KINYUME CHA SHERIA???KWANI SHERIA HIYO NI IPI??!
Inanaweza kuwa serious lakini ulivyoiwakilisha ndio shida.Mkuu hii issue ipo serious Hawa wazungu wanyanyasa sana wazawa
MKUU NCHI HII INAENDESHWA KWA SHERIA KWELI??!!Kwa sheria yetu inaruhusu kufungua kampuni Bila kuisajiri?
Daaah ipo shida mkuuMKUU NCHI HII INAENDESHWA KWA SHERIA KWELI??!!
Viongozi walifanyie kazi thus why hii thread ipo hapaInanaweza kuwa serious lakini ulivyoiwakilisha ndio shida.
Positive idea mkuu ubarikiwe sana kwa kuliona hili swala la kitapeliHilo kampuni makao makuu ni London lkn wamefungua kaofisi bongo wakaongeza neno tanzania kwa mbele ili waonekane wako kitanzania zaidi.
Zamani migodi ililindwa na makaburu sasa waingereza ngoja wajuvi zaid waje waeleze maana wazungu ni wajanja sana hawafanyi kitu Bila backup...
Good implementationMkuu ameshasema I WILL DEAL WITH THEM...
Na tunasubiri kwa maana hili jambo lilimkera sheria ya kuajiri wazawa wao waliipuuzaGood implementation