Tata ya bana
JF-Expert Member
- Jul 14, 2018
- 304
- 369
- Thread starter
-
- #21
Unakuta mlinzi kavaa uniform imepauka na raba za mkewe.inavyosemekana wamiliki wa kampuni wana sign pesa nzuri sana kwa kila mlinzi kwa makampuni wanayokubaliana kulinda,si chini ya 800k maana yanapigwa mahesabu ya vitu mbalimbali,ila sasa inaposhuka mpaka kufikia 140k hapo ndio havieleweki.
Imagine pamoja na umasikini wote huo wa kutisha walionao bado CCM ya JIWE imewadhulumu PESA zao za PPF/NSSF !!Unakuta mlinzi kavaa uniform imepauka na raba za mkewe.
Lakin kumbuka mwenye kampuni ya ulinzi anafanya biashara kama biashara zingineinavyosemekana wamiliki wa kampuni wana sign pesa nzuri sana kwa kila mlinzi kwa makampuni wanayokubaliana kulinda,si chini ya 800k maana yanapigwa mahesabu ya vitu mbalimbali,ila sasa inaposhuka mpaka kufikia 140k hapo ndio havieleweki.
Basi wajitahidi kuwajali,kuna wengine wanakaa bila malipo kwa miezi mitatu,just imagine anaishi vpLakin kumbuka mwenye kampuni ya ulinzi anafanya biashara kama biashara zingine
Adui mkubwa wa USTAWI WA VIJANA hapa nchini kwa sasa ni JIWE.Lakin kumbuka mwenye kampuni ya ulinzi anafanya biashara kama biashara zingine
Hiyo ni mbaya sana ....na nahisi na pale mwenye kampuni ya ulinzi anapoamua kufanya hii biashara pasipo kufikiria nje ya box ..namaanisha mfano kama hana chanzo kingine cha mapato akitegemea wale wateja wake wamlipe kwanza ndo alipe walinzi hapa lazima walinzi wapate tabu....Basi wajitahidi kuwajali,kuna wengine wanakaa bila malipo kwa miezi mitatu,just imagine anaishi vp
Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
Usiandike kitu usichokijuwa, kampuni kubwa ndio zina mikataba angalau, lakini kampuni zetu hizi za kuganga njaa lindo la bunduki kwa mlinzi mmoja haizidi laki tatu kwa mwezi ndio pesa inalipwa kampuni kwa mlinzi mmoja mwenye bunduki, kwahiyo lindo lisilohitaji mlinzi kuwa na bunduki ni pungufu ya pesa hiyo.inavyosemekana wamiliki wa kampuni wana sign pesa nzuri sana kwa kila mlinzi kwa makampuni wanayokubaliana kulinda,si chini ya 800k maana yanapigwa mahesabu ya vitu mbalimbali,ila sasa inaposhuka mpaka kufikia 140k hapo ndio havieleweki.
Simshauri mtu kwa sasa kuwaza kuwekeza kwenye biashara hii, maana kwa aina ya utawala uliopo malindo yote ya taasisi za serikali na malindo mengine manono yenye maslahi mazuri wanapewa Suma security, mwenzangu na mimi na kikampuni chako cha kupambana na hali yako utaambulia malindo ya kulinda club na pasua kichwa kwa wadosi.Hiyo ni mbaya sana ....na nahisi na pale mwenye kampuni ya ulinzi anapoamua kufanya hii biashara pasipo kufikiria nje ya box ..namaanisha mfano kama hana chanzo kingine cha mapato akitegemea wale wateja wake wamlipe kwanza ndo alipe walinzi hapa lazima walinzi wapate tabu....
In short nahisi hii ni biashara ngumu usipojipanga na nzuri ukiwa na mipango ya kudumu
Kweli kabisa nahisi na mm hivo makampuni makubwa ndo yanapata mikataba nahisi hivo lakini haya mengine sijui mstaafu wa jeshi kaanzisha kikundi chake na kusajiliwa mwendo wa bunduk moja kuizungusha malindo kadhaa lazima tabu sana ..Usiandike kitu usichokijuwa, kampuni kubwa ndio zina mikataba angalau, lakini kampuni zetu hizi za kuganga njaa lindo la bunduki kwa mlinzi mmoja haizidi laki tatu kwa mwezi ndio pesa inalipwa kampuni kwa mlinzi mmoja mwenye bunduki, kwahiyo lindo lisilohitaji mlinzi kuwa na bunduki ni pungufu ya pesa hiyo.
Ukumbuke kuna gharama za uendeshaji kampuni pia.
Usije ukadhani nina kampuni ya ulinzi bali kuna jamaa yangu ana kampuni yake kwahiyo nafahamu vizuri.
Wanajifanya wakaksi hata kuwapa tip unashindwa uanzaje, ila kuna wale wa UDOM wako poa sana, yani wanafurahi sana kusimamisha magari na ukishasimama furaha anayokua nayo hata akukagui...Kuna walinzi wengine hovyo tu hasa hawa SUMA JKT wanataka wajione na wawo wanajeshi.
Unaijuwa rushwa iliyopo Polisi na Takukuru?Yote tisa kumi kuna kampuni inaitwa G4s hawa ukiwaona kwa juu ni brand kubwa, hakuna kampuni yenye utawala mubovu kama kampuni hii ,sku moja niliskia kwa wafanya kaz wao kuwa ukitaka kuhama lindo moja kwenda sehm nyingine kwamba unatoa rushwa ,ukitaka kukiendeleza kielim unatoa rushwa na ukitpata zarula unataka leave unatoa rushwa ,kama kwel iko hivo PCB wekeni mkono mtawanasa hata wiki haipiti hata kazi kuna walimu pale wanao wafundisha walinz wanakutimua ili uwape rushwa urudi ,Kuna mtu anaitwa jerry na wenzake waangaliwe kwel kwel,[emoji34][emoji34][emoji34][emoji34] siyo mim Uzalendo kwanza
mkuu inaelekea yamekupata cha ajabu uloyemdharau bado anaendelea kudunda getiniJe ushawaza unapita getini kuingia kazini kwako unampita mlinzi kama mti,unamuona kama hajasoma vile,ila kampuni ikifa ni yeye pekee atabaki pale.vilevile maslahi yao ni ya ovyo sana.hebu tudiscuss umuhimu wao
mkuu kukuzuia kuingia ni sehemu ya kutimiza majukumu yake, endapo jambo baya likajitokeza na ikagundulika alilegeza masharti atapoteza kazi. tatizo letu huwa tunapenda mkatoKadri unavokuwa na elimu ndogo basi ndivo na kazi yako itakuwa ya kudharaulika(za kuajiliwa).
Walinzi n watu muhimu tatzo nao wanakuwaga wakorofi na hawana ubinadamu kabisa mda mwingine.
Unamzuia mtu getini chuoni na anawahi mtihani kisa hajabeba id.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa hyo ye anafurah kuona umesimamaWanajifanya wakaksi hata kuwapa tip unashindwa uanzaje, ila kuna wale wa UDOM wako poa sana, yani wanafurahi sana kusimamisha magari na ukishasimama furaha anayokua nayo hata akukagui...
Wako poa? ifike mahali haya makampuni ya ulinzi yaweke msisitizo ulioshiba kwenye intelijensia ya hao walinzi, wengi wao hawajui uzito wa jukumu lao sababu ulinzi ni ulinzi tu haijalishi ni wa palace au nyumba au ofisi ya Bwana fulaniWanajifanya wakaksi hata kuwapa tip unashindwa uanzaje, ila kuna wale wa UDOM wako poa sana, yani wanafurahi sana kusimamisha magari na ukishasimama furaha anayokua nayo hata akukagui...