Section 20: Karibu usajili Kampuni kwa Tsh. 500,000/- tu

Section 20: Karibu usajili Kampuni kwa Tsh. 500,000/- tu

Sometimes ukipitia comments ktk JF wengine utagundua ni wivu tu , wengine elimu ndogo, wengine wanaelewa ila ni much know, wengine hawana ueledi kabisa ktk suala wanalicomment na wengine wanapotezea mda humu jf. JF ilipoanza huko nyuma , mm nimejoin 2011 nilikuta iko very hot ktk issues. Ndio maana waanzilishi waliweka sub-forums tofauti tofauti kama vile Siasa, michezo, elimu, biashara, na zingine za vichekesho chekesho ...siku hizi mada na comments zinaingia popote hivyo kuondoa uzito wa JF. Wana JF must be great thinkers, na utawapima kwa posts na comments zao. Tujitahidi kurudi ktk misingi hiyo: haina kejeli, haina mizaha ktk serious issues, kuna kurekebishana kiuweledi zaidi, maswali yenye kujenga na sio kudhihaki..tutafurahia uwepo wa hii JF.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom