mimi naweza na nimemaliza frm 2004 sina cheti cha secretary bali nina cheti cha IT na busines admistration vyote nimechukulia kenya ila nina exprience ya miaka 3 moja british council na mbili shule za kiislam primary and sekondari nimeolewa miaka 28 nina mtoto mmojaKampuni mpya Ipo mwenge inatafuta Binti/Mdada kwa ajili ya kuwa Secretary/ambaye ana weza ku handle customer service vema.Mshahara 300,000 Take home,
Awe ame maliza kidato cha nne au zaidi.
awe creative and self motivated.
Awe na uelewa wa kazi/majukumu ya Secretary
Awe smart,Clearn and attention to details.
Awe na uwezo wa kufanya kazi bila kusimamiwa.
Awe na ufahamu wa Huduma kwa wateja.
Awe na Umri usio zidi miaka 30
kwa maelezo zaidi Ni PM niachie namba yako kwa maelezo zaidi.Nafasi hii ita expire tar 12-Feb-2012
mimi naweza na nimemaliza frm 2004 sina cheti cha secretary bali nina cheti cha IT na busines admistration vyote nimechukulia kenya ila nina exprience ya miaka 3 moja british council na mbili shule za kiislam primary and sekondari nimeolewa miaka 28 nina mtoto mmoja