Secretariat ya ajira; simani ninachokiona

Secretariat ya ajira; simani ninachokiona

Mkuu labda ni bahati tu,mimi nilifanya interview pale mara ya kwanza tu nikapata na sikua na refa,tulikua 150 na walikua wanatakiwa watu 25 tu,hivyo ni wazi watu 125 hawawezi kupata nafasi. Nadhani tuzingatie na uhitaji wa nafasi husika,ila jamaa wanajitahidi sana kua wawazi. Mnaweza kufaulu wengi ila nafasi zikawa chache sio rahisi kupita wote.

Bomba Mvua
Nafasi zetu ikitoka moja tunaomba 1000...sio mchezo
 
Baada ya kufanya usahili wa mtihani pale duce siku ya jumamosi iliyopita nilidhani ndo wakati wangu wakupata kazi maana maswali yalikuwa ni dhahiri na nilijibu yote kwa ufasaha; ila matokeo yameniangusha ile mbaya.

Kwa hakika sijawaelewa kabisa hawa jamaa wa utumishi..

Naona kuna tatizo kitengo cha usahihishaji wa mitihani maana matokeo ya wengi hayaendani na walichofanya.
Hata mim siwaelewi hawa Utumishi ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani unafika kwenye mahojiano unakwama?? Mimi nikifika kwenye mahojiano ni green light kwangu hiyo nakuwa sizuuliki na chochote
Acha mbwembwe wewe kuna mda ni kismart tu unaweza ukajibu vizuri na ukajikuta unakosa kazi hizo kazi hazitabiriki futa kauli yako ila dhidi tu kumuomba Mungu wako tu atimize haja yako usiwe unaishia Written tulowahi ingia ORAL tunaelewa hili boss.
 
Ngoja niweke akiba ya màneno
 
Mkuu labda ni bahati tu,mimi nilifanya interview pale mara ya kwanza tu nikapata na sikua na refa,tulikua 150 na walikua wanatakiwa watu 25 tu,hivyo ni wazi watu 125 hawawezi kupata nafasi. Nadhani tuzingatie na uhitaji wa nafasi husika,ila jamaa wanajitahidi sana kua wawazi. Mnaweza kufaulu wengi ila nafasi zikawa chache sio rahisi kupita wote.

Bomba Mvua
Mimi nimeitwa Kwenye usaoli wa Mchujo kada Ya Liquorer officer II, siyo mzoefu na saili zao, naomba Mfumo wa maswali yao(Format)
Ahsante
 
Back
Top Bottom