Bodabodafasta
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 372
- 372
Baada ya kufanya usahili wa mtihani pale duce siku ya jumamosi iliyopita nilidhani ndo wakati wangu wakupata kazi maana maswali yalikuwa ni dhahiri na nilijibu yote kwa ufasaha; ila matokeo yameniangusha ile mbaya.
Kwa hakika sijawaelewa kabisa hawa jamaa wa utumishi..
Naona kuna tatizo kitengo cha usahihishaji wa mitihani maana matokeo ya wengi hayaendani na walichofanya.
Kwa hakika sijawaelewa kabisa hawa jamaa wa utumishi..
Naona kuna tatizo kitengo cha usahihishaji wa mitihani maana matokeo ya wengi hayaendani na walichofanya.