Atheists wanaamini ni nini chanzo cha uovu na wema duniani? Kiranga
Ngoja nitaangalia kuona TUKI wanasemaje.
Ila source yangu ( and in the interest of full disclosure, my dad) imeandika na kufanya tafiti extensively juu ya ujio wa wazungu na jinsi walivyoathiri uchumi na jamii nzima kwa ujumla wake. Kwa hiyo mtu anaweza kusema niko biased kiaina lakini pia yeye mwenyewe alikuwa ni authority flani katika hayo mambo.
Ona jinsi Wiki wanavyoelezea neno 'Mzungu'.
Ila pia maelezo yako nayo nayakubali kwa kiasi fulani kwani yapo kwa kifupi kwenye Kamusi Elezo Huru, Wikipedia ya Kiswahili.
Pia cheki hapa.
Hahahaha,
Mimi nishatanguliza salamu kwa kuandika "reputable academician".
Kumbe machale yalikucheza tokea awali.....
And it's true that there is always room for improvement in just about everything.
Tatizo letu kubwa kama jamii hatuna waandishi wengi wa vitabu.
Pengine huo uhaba ndo fursa yetu sie wengine kuliendeleza libeneke pale ambapo waliotutangulia wametuachia.
Tumieni lugha ya kiswahili mtakuwa mmeeleweka zaidi na kusaidia wengi
Tatizo ni hii self imposed exile tu na u raggamuffun. My friends tell me I should have been a research don at some bongo tower.
Lakini nilivyoangalia uncles walivyojuwa frustrated na academia ya bongo nikaona that's hardly for me.
Nilikuwa namsikiliza mshua akipiga stories na Prof. Kamera kuhusu academia politricks nikavunjwa moyo tangu mdogo.
If at all I am not just flattering myself.
Tumieni lugha ya kiswahili mtakuwa mmeeleweka zaidi na kusaidia wengi
Wakristo na Waislam wanaoamini katika mungu wako karibu na Freemasons kuliko mimi ambaye siamini katika mungu yeyote.
Inawezekana wengi ndio wanatakiwa kuona changamoto ya kujua kiingereza zaidi. Do not dumb down the lowest common denominator.
Kwa wengine pia, kueleweka kwa wengi si lengo kuu kama kueleweka na wanaotakiwa na waliofikisha masharti ya kuelewa.
Naweza kuanza kuelezea kwa Kiswahili Hegelian dialectics ukaanza kunilaumu natumia Kiswahili kigumu kinachohusisha mibadala mikabala na nadhama ziso ughulama kwa jibli muhtahima isopenda sahala ya rai iso utribu wala korija za karima bila utovu wa adili wala ukithiri wa fadhili.
Patazuriwa na mja gani hapa kama uzuzu utaendekezwa?
Nataka za TZingia youtube type secrets societies utakutana nazo nyingi...Iluminata na Freemason
Hivyo sasa atatafutwa Sabodo mwingine maanaGood thing you mentioned Sabodo as an exception.
Nilikuwa nataka kumtaja kama exception.
Kuna watu huwa wanatoa michango kwa pande mbili zote zinazohasimiana kwenye chaguzi kwa matumaini kwamba yeyote akishinda wanakuwa wao wameshinda. Hivyo tusishangae kusikia kwamba Sabodo ni muwakilishi wa jumuiya ya wahindi, anatumiwa kiasi kwamba siku moja upinzani ukipata kuchukua madaraka wahindi wawe na pa kupenyea wakisema "sisi tulikuwa na Sabodo lakini hatukutaka kujulikana kwa kuogopa CCM".
It's just conjecture, but not totally implausible.
Sabodo ni Mtanzania mwenzetu, leo ametangulia mbele ya haki!siku nitakayomuona muhindi yeyote anayesupport upinzani dhahiri shairi ndio nitajua hawa ni Watanzania wenzetu (Sabodo atolewe hapo)
Msoga secret societyNataka za TZ