Swali ni kuwa, baada ya hapa, Kikwete ataweza kuliongoza taifa hili kwa ufanisi? Tukumbuke ahadi kem kem alizotoa na vile vile tusisahau tabia ya ccm ya ufisadi. Nionavyo mimi ni kuwa Watanzania waliomchagua watajutia kitendo hicho cha kumchagua kwani maisha yao yatazidi kuwa magumu kuliko yalivyo sasa hivi.
Dawa ni Chadema kwenda Mahakamani na kudai kura zirudiwe kuhesabiwa hapo CCM kitakuwa ni kilio na kusagag meno na JK wake...........
Nazungumza hili jambo huku roho inaniuma sana ila nathubutu kusema if Kikwete wins i will be happy too. Nataka watanzania washikishwe adabu kwa miaka mingine mitano halafu tuwasikilizie.
Binafsi nisisikie mtu ananiambia maisha ni magumu, ntamtukana labda niwe nna uhakika kabisa ni mpinzani wa kweli
Luteni,
Heshima yako.
Nadhani ukisoma tena utaona hayo maneno sio ya Fareed bali ametoa kwenye source ya AFP.
Wewe nawe umetuletea source nyengine. Kwa hivyo ni source mbili na two differetn stories
but the fact is that Kikwete anaongoza na atashinda akitangazwa hapo ijumaa.
You are simply being prepared for the eventuality.
Chadema fanyeni maandalizi ya kutosha "ku-dispute" matokeo na kupeleka kesi mahakamani mpaka kura zihesabiwe upya na haki itendeke. Haki lazima itendeke, nchi hii ni yetu sote.
The lawyers can advice CHADEMA whether it is possible to seek "Court Injuction" to restrain NEC from announcing the winner until all issues related to tallying are solved. As it is under the current election laws, akishatangazwa tu, hakuna wa kuyapinga! Kama kuna cha kufanya ni sasa, there is no later!
Unataka umwage damu ya nani?Gosbertgoodluck said:Tukiogopa kumwaga damu hatutaweza kuikomboa nchi hii.
Wananchi tupo nyuma yenu hatuwezi kukubali kuporwa haki yetu.
Suluhisho la kudumu la uchaguzi huru TZ ni kuwa na KATIBA MPYA, TUME HURU YA UCHAGUZI ( wajumbe wasiteuliwa na Rais/wasio waajiriwa wa serikali, wasimamizi wakuu wasio waajiriwa serikalini), TAKUKURU huru (watendaji wasiowajibika kwa RAISI).
Bila hivyo uchakachuaji utaendelea kila chaguzi zinapofika.
NI kichekesho mwenyekiti wa tume ya uchaguzi anateuliwa na RAISI halafu raisi huyohuyo naye ni mgombea unategemea nini hapo?
Kwa nchi za Afrika kama TZ na kwa mtindo huu basi chama tawala kitaendelea kutawala milele.
LA MUHIMU:
Kuanzia sasa TUDAI KATIBA MPYA, TUDAI TUME HURU YA UCHAGUZI, TUDAI TAKUKURU HURU.
kwa kuwa mlizungumza na kila mpiga kura wa tanzania na akawaambia kwamba atampigia kikwete.Wengine tulisha fahamu mapema sana kuwa panga pangua JK ni Rais, mshindi wa pili Lipumba na watatu Slaa. Nyie kama hamjui sababu ni bahati mbaya kwenu.