Swali ni kuwa, baada ya hapa, Kikwete ataweza kuliongoza taifa hili kwa ufanisi? Tukumbuke ahadi kem kem alizotoa na vile vile tusisahau tabia ya ccm ya ufisadi. Nionavyo mimi ni kuwa Watanzania waliomchagua watajutia kitendo hicho cha kumchagua kwani maisha yao yatazidi kuwa magumu kuliko yalivyo sasa hivi.
Unafikiri Kikwete kuongoza kiufanisi ipo kwenye vocabulary zake. Na hivi anajua hana la kupoteza ni ufisadi kwa kwenda mbele.