Hahaha. Sasa unachukua hatua gani ukiambiwa hivyo?
Sirudii. Watu wengine sijui hawajui haya mambo au ndio wanaita Ugumu mi sielewi.
Hata sipotezi muda kukuambia hayo yote najitahidi kuwa muwazi sio hadi unisome upoteze muda wako ni kuwa original tuu
Hivi kuna ulazima gani ku quote limada lote hilo halafu unaandika mistari mitatu tu?
Uki coment tu bila ku quote mada yote hutaeleweka?
Binti usichukulie hivyo ni kwamba mechanism ya ubongo wetu wanaume kuna kipindi ina-operate katika mode ya ''kutowaza chochote'' na hapo ndipo tunapochelewa kutambua hizi alama zenu. Sometimes huwa tunajikuta tunafikiria nothing wenyewe tunaita ''just chilling''.
Lakini kuna wengine hawana 'sometimes'. Ni wapo hivyo nadhani.
Ingekuwa ni kitu nilicho experience mara moja au mbili nisingesema.
ivi inawezekana mtu mzima wa afya yupo macho asiwaze chochote kile,napenda kuelewa hapo
Kweli kabisaaaa, ila paulo ungewekapo na ka mstari ka pesa ingenogapo.
Why do you guys think I've been hurt!?????? I am just being realistic!
Hivi kuna ulazima gani ku quote limada lote hilo halafu unaandika mistari mitatu tu?
Uki coment tu bila ku quote mada yote hutaeleweka?
Hahahaaaaa hawataki kusikia pesa.
Japo thread sijasoma maana kimalkia hakipandi.
Leo nafanya ziara kote ulipo pita na mimi napita.
nahama tena
Alafu unapotelea wapi mamito? Nimekumiss balaa.