Amri nhelegani
Senior Member
- Sep 10, 2016
- 103
- 11
- Thread starter
- #81
Nikiatach hyo rangi ya njano katika picha hapo juu inatokea kamainavyoonekana hii picha hapa chini. Kwani hayo nilazima kuyajaza au kwanyie kama ulijaza nacte mlijaza vitu kama hivyo vinavyoonekana hapo kwa profile hapo chiniWadau mbona profile yangu inaonesha hv alafu hata sichaguliwi