fatma kimambo
Member
- Sep 2, 2016
- 42
- 16
Sio Mimi ila ndg yng kapangiwa hiyo setificate
Kila nikiangalia profile inakuwa hivi hivi hata hawachagui sijui tumesahaulika wengineSio Mimi ila ndg yng kapangiwa hiyo setificate
kwa iyo wale tulio apply dead line ya 15/09sorry joh cio nacte wanachagua watu ila vyuo ulivyo chaguaa ndio wanakuchagua ndio maana watu wengine majibu tiar coz chuo kimesha comfirm ayo majina ya kwamba unavigezo ww angalia web za ivyo vyuo ulivyo chaguwa ukikuta vyote wamesha to majina na lako alipo jua bac wamekuacha uwondio mxaada wngu
mambo yanaenda kimya sijui kwanini,, mimi kwenye profile yangu naambiwa bado nisubiri hakikisho kutoka chuo husika,, lakini tayari nimetumiwa joining instructionWw muda unaenda basi wangetujb kwa sms coz tuliweka no. Zetu pale chini wanazo @wanatupa pressure tuuuuuu
Sasa mbona wanatufanyia hivi lakn. Doooohmambo yanaenda kimya sijui kwanini,, mimi kwenye profile yangu naambiwa bado nisubiri hakikisho kutoka chuo husika,, lakini tayari nimetumiwa joining instruction
kwa iyo wale tulio apply dead line ya 15/09
selection zetu Hakuna au
sielewi mm tawafuata oficin kwaoyaani mwaka huu kuna kazi sana katika suala la elimuSasa mbona wanatufanyia hivi lakn. Dooooh
Huna no. Zao niongee naoooyaani mwaka huu kuna kazi sana katika suala la elimu
Au tafuta no. Zao uongee naoyaani mwaka huu kuna kazi sana katika suala la elimu
hawa nacte kupokea simu ni mtihaniHuna no. Zao niongee naooo
Nikweli mm hawapokei cm yanghawa nacte kupokea simu ni mtihani
fanya hivyo Kaka uje Kutupa mrejeshosielewi mm tawafuata oficin kwao
Mpaka ku apply mwakani duuuh mbona mbali hvyoNikweli mm hawapokei cm yang