Amri nhelegani
Senior Member
- Sep 10, 2016
- 103
- 11
- Thread starter
- #41
Jaman mbona web ya nacte inasumbua ukiingia tu pale ukaingiza username na password ina load mpaka inagoma sasa sijui ni kwann
nikajua n kwangu tu kumbe hata kwakoNa nacte leo wameamua duuuuuh
Ndyo hadi kwangu hivyo hivyo duuuuhnikajua n kwangu tu kumbe hata kwako
Unajua nn labda wanamalizia second selectionnikajua n kwangu tu kumbe hata kwako
Nimewafuata nacte coz tangu tar 5 naandikiwa wait for second selection wakaniambia eti niendelee tu kungoja,na tar ya mwisho kesho hapo c ishatoka hyoKwan vp
Na mie nikifungua inaonyesha hivyoNa nacte leo wameamua duuuuuh
Dah pole sana dada but are you sure about your qualificationsNimewafuata nacte coz tangu tar 5 naandikiwa wait for second selection wakaniambia eti niendelee tu kungoja,na tar ya mwisho kesho hapo c ishatoka hyo
Yes I'm sureDah pole sana dada but are you sure about your qualifications
Nahc sisi tushasaulika doooh mpaka ku apply mwakani hyoooooSwali kama uteuzi ulishafanyika tangu tarehe 10sasa hiyo deadline ya tarehe 15 ilikuwa ya nini
Toeni majibu bac jmn ili tufaidike na ccBasic technician certificate na technician certificate kuna utofauti gani hapo
Nishaipata hyo wanasema basic technician certificate unasoma mwakammoja then ndo unaingia technician certificate. Kwahyo hyo basic unasoma ili upate vigezo vya kusoma technician certificate (kwa upande wa health............Toeni majibu bac jmn ili tufaidike na cc
Ndyo sema ww umepangiwa chuo gani au na ww unasubiri second selectionOk asante ila kuna kuzeekea chuo kwa kweli