kato Kazi Member Joined Sep 21, 2016 Posts 38 Reaction score 21 Sep 28, 2016 #1 Aisee mi nafikiri second selection zimewekwa pending mpaka siku wakinywa chai ya maziwa ndo watatoa hayo majina.
Aisee mi nafikiri second selection zimewekwa pending mpaka siku wakinywa chai ya maziwa ndo watatoa hayo majina.
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,267 Sep 28, 2016 #2 watu wengi wako benchi
Agustino Regnald JF-Expert Member Joined Aug 15, 2016 Posts 501 Reaction score 428 Sep 28, 2016 #3 duh
Amon Mtekateka JF-Expert Member Joined Jun 4, 2014 Posts 1,225 Reaction score 333 Sep 28, 2016 #4 kato Kazi said: Aisee mi nafikiri second selection zimewekwa pending mpaka siku wakinywa chai ya maziwa ndo watatoa hayo majina. Click to expand... pale mpaka atumbuliwe mmoja wengne watachangamka
kato Kazi said: Aisee mi nafikiri second selection zimewekwa pending mpaka siku wakinywa chai ya maziwa ndo watatoa hayo majina. Click to expand... pale mpaka atumbuliwe mmoja wengne watachangamka
Amon Mtekateka JF-Expert Member Joined Jun 4, 2014 Posts 1,225 Reaction score 333 Sep 28, 2016 #5 Amavubi said: watu wengi wako benchi Click to expand... Sio kitoto na wana hasira
I isaya songa Member Joined Sep 26, 2016 Posts 86 Reaction score 24 Sep 28, 2016 #6 Baadhi ya majina yanayotolewa na vyuo yamo ya ware hata wariokosa Mara ya kwanza
M mashishanga JF-Expert Member Joined Sep 16, 2016 Posts 611 Reaction score 429 Sep 28, 2016 #7 Duuh kwel yapo na waliokosa Mara ya kwanza
FredaF Senior Member Joined Sep 11, 2016 Posts 161 Reaction score 67 Sep 28, 2016 #8 isaya songa said: Baadhi ya majina yanayotolewa na vyuo yamo ya ware hata wariokosa Mara ya kwanza Click to expand... Una uhakika mkuu?
isaya songa said: Baadhi ya majina yanayotolewa na vyuo yamo ya ware hata wariokosa Mara ya kwanza Click to expand... Una uhakika mkuu?
austin richard Member Joined Sep 20, 2016 Posts 67 Reaction score 22 Sep 28, 2016 #9 mbona watu wana haraka sana...just kutulia tu kama una principal pass mbili lazma uende chuo..
Amon Mtekateka JF-Expert Member Joined Jun 4, 2014 Posts 1,225 Reaction score 333 Sep 28, 2016 #10 isaya songa said: Baadhi ya majina yanayotolewa na vyuo yamo ya ware hata wariokosa Mara ya kwanza Click to expand... Mmmmmh hiz fix sasa unatuletea, ww umemuona nan au ndio zile stor za mitaa
isaya songa said: Baadhi ya majina yanayotolewa na vyuo yamo ya ware hata wariokosa Mara ya kwanza Click to expand... Mmmmmh hiz fix sasa unatuletea, ww umemuona nan au ndio zile stor za mitaa
Amon Mtekateka JF-Expert Member Joined Jun 4, 2014 Posts 1,225 Reaction score 333 Sep 28, 2016 #11 austin richard said: mbona watu wana haraka sana...just kutulia tu kama una principal pass mbili lazma uende chuo.. Click to expand... kinacholalamikiwa n mda sio kua wote tunaenda. Kila mmoja anafaham kua ataenda chuo. Tatzo mda
austin richard said: mbona watu wana haraka sana...just kutulia tu kama una principal pass mbili lazma uende chuo.. Click to expand... kinacholalamikiwa n mda sio kua wote tunaenda. Kila mmoja anafaham kua ataenda chuo. Tatzo mda
Amon Mtekateka JF-Expert Member Joined Jun 4, 2014 Posts 1,225 Reaction score 333 Sep 28, 2016 #13 isaya songa said: Cheki wa ruaha Click to expand... wamefanyeje?
I isaya songa Member Joined Sep 26, 2016 Posts 86 Reaction score 24 Sep 28, 2016 #14 Ndo nimeona second
Amon Mtekateka JF-Expert Member Joined Jun 4, 2014 Posts 1,225 Reaction score 333 Sep 28, 2016 #15 isaya songa said: Ndo nimeona second Click to expand... acha utan Mkuu inamana jina lako umeliona
I isaya songa Member Joined Sep 26, 2016 Posts 86 Reaction score 24 Sep 28, 2016 #16 Ra ukoo nani sema nawewe ulikosa Mara ya kwanza
Amon Mtekateka JF-Expert Member Joined Jun 4, 2014 Posts 1,225 Reaction score 333 Sep 28, 2016 #17 isaya songa said: Ra ukoo nani sema nawewe ulikosa Mara ya kwanza Click to expand... Ndio Mkuu walinitema sasa Cjajua ww umechaguliwa awam ya ngap?
isaya songa said: Ra ukoo nani sema nawewe ulikosa Mara ya kwanza Click to expand... Ndio Mkuu walinitema sasa Cjajua ww umechaguliwa awam ya ngap?
Amon Mtekateka JF-Expert Member Joined Jun 4, 2014 Posts 1,225 Reaction score 333 Sep 28, 2016 #19 isaya songa said: Ya kwanza mkuu Click to expand... Aaaaaaaaaaah! bac nilijua second batch ndio nikataka kushangaa
isaya songa said: Ya kwanza mkuu Click to expand... Aaaaaaaaaaah! bac nilijua second batch ndio nikataka kushangaa
I isaya songa Member Joined Sep 26, 2016 Posts 86 Reaction score 24 Sep 28, 2016 #20 Ohooo kwa hyoo unasubiria mkuu watoe