Mkuu mie nmechaguliwa mzumbe round ya pili LAWS but sikuomba round ya pili coz nilikuwa nmechaguliwa round ya kwanza sasa cjui nifanyeje, kama unaujuz na hili nijuzeNamshukuru mungu kwa kusikia kilio changu, mimi nimechaguliwa mzumbe kusomea information technology system,
So naomben first batch na second batch wa mzumbe tupeane info juu ya nn kinahtajika na uhakika wa hosteli pia kwa ndugu wenzetu wa mwaka wa pili na watatu msisite kutupa mwanga hapa
Namshukuru mungu kwa kusikia kilio changu, mimi nimechaguliwa mzumbe kusomea information technology system,

KAKA HIVI NIKITAKA KUJUA GHARAMA ZA CHUO NAPATA WAPI HIZO BARUA
Yahp kaka, naenda kupiga ITKaribuni sana Mzumbeni...umechaguliwa main campus ya morogoro ama
wakuu mbona naingia saris inagoma
P0112/0444/2014 MKUU SI HV AU NAKOSEA WAP