kipi kinachanganyaMbona tunachanganyana jaman
Wao wanasema mfumo umefungwa kwaajil ya udahil alaf kwengne wameachia second batchkipi kinachanganya
Wee acha tu had form four failure hawatuheshim ckuiztoeniiiiiii,,vyuo vilivyobakiza kutoa majina vifanye hima tunateseka mtaani uku.
Hahaha Wanaona tunafananaWee acha tu had form four failure hawatuheshim ckuiz
toeniiiiiii,,vyuo vilivyobakiza kutoa majina vifanye hima tunateseka mtaani uku.
kuna mtu nimemchekia hapa amechaguliwa chuo cha kolandoto ila hii ada imenisapraiz asee hivi ada ya kozi za afya huwa ni kubwa kuliko koz zingine?
Yan weee acha tu heshima yote imepoteaHahaha Wanaona tunafanana
Mmmmmh kumbe mpaka uwakute sasa izo elfu 50 zetu wamechukua za nin?ukiwa fuata ofisin wana kudahili fasta tu sasa we subili 3rd round
umesahau hii ni nchi ya ahadi na kumbuka wale 8000 waliokosa sifa ila wengi wamechaguliwa kaka money is power......Mmmmmh kumbe mpaka uwakute sasa izo elfu 50 zetu wamechukua za nin?
Hawachelewi ao kusema umezingua,Hahaha Wanaona tunafanana
kumbe waliotumbuliwa na walioekwa sasa iv hakuna wenye afadhal.umesahau hii ni nchi ya ahadi na kumbuka wale 8000 waliokosa sifa ila wengi wamechaguliwa kaka money is power......
ikifika mpaka tareh 20 bado upo mtaan unajiandaa kuchekwa tuHawachelewi ao kusema umezingua,