Second round TCU inatoka

Second round TCU inatoka

IDDI SHAFII

Member
Joined
Oct 26, 2012
Posts
37
Reaction score
8
kwa wale mliokosa first round TCU kuwen wavumiliv TCU wafanye kaz zao kwa umakin sio kaz rahisi kuwapanga wanafunzi .tunatarajia wiki ijayo selection zitatoka na kila aliyeomba atalidhika na matokeo
 
Kwa wale wa diploma ambayo wamefikisha gpa3.0 na kuendelea Lakini walikuwa na supp inakuwaje tcu.naona dirisha limefungwa
 
I hope wanafanya juu chin ili wote wapate vyuo kadil ulivyoomba . So hakutakuepo competition kama first selection
 
Ngoja tuwe wavumilivu tuu maana hakuna namna

#Ni mtazamo tuu
 
Kwa wale wa diploma ambayo wamefikisha gpa3.0 na kuendelea Lakini walikuwa na supp inakuwaje tcu.naona dirisha limefungwa
Sup maana yake hujahitimu
Hadi usapue hicho kimeo
 
Back
Top Bottom