Mungu anawaona hawa tcu kwenye web yao wanauza sura tu wamejaza mapicha utadhan wapo wanatafta wa kuwaoa huku raia tunakula msoto ***** "mungu anawaona"
Mpaka kichwa kinauma yan washkaj zangu wote wamechaguliwa second batch.
Mm nmebakia solemba yan alaf vimebak vyuo viwil tu navyo kunihukum
Full mapresha
Mpaka kichwa kinauma yan washkaj zangu wote wamechaguliwa second batch.
Mm nmebakia solemba yan alaf vimebak vyuo viwil tu navyo kunihukum
Full mapresha