incredible terminator JF-Expert Member Joined Aug 1, 2016 Posts 2,530 Reaction score 4,274 Sep 27, 2016 #1 Wakuu naomba tupeane updates kwa yeyote mwenye ufaham post za second round zitatoka lin?
I isaya songa Member Joined Sep 26, 2016 Posts 86 Reaction score 24 Sep 27, 2016 #2 Nasikia tarehe 29 au 31
S SAID MAURID Member Joined Mar 25, 2014 Posts 54 Reaction score 25 Sep 27, 2016 #3 Bado kutoka lakni leo loading
Anajua peter Member Joined Sep 12, 2016 Posts 97 Reaction score 25 Sep 27, 2016 #4 Uvumilivu unatakiwa maana hakuna anaejua siku halisi
FredaF Senior Member Joined Sep 11, 2016 Posts 161 Reaction score 67 Sep 27, 2016 #5 Mimi sijui ila nipo nasubiri pia.
lucas more Senior Member Joined Jul 30, 2016 Posts 108 Reaction score 27 Sep 27, 2016 #6 Nmeongea na tcu wanasema baada ya wiki mbili ndo zinatoka
Amon Mtekateka JF-Expert Member Joined Jun 4, 2014 Posts 1,225 Reaction score 333 Sep 27, 2016 #7 lucas more said: Nmeongea na tcu wanasema baada ya wiki mbili ndo zinatoka Click to expand... Acha uongo
lucas more said: Nmeongea na tcu wanasema baada ya wiki mbili ndo zinatoka Click to expand... Acha uongo
lucas more Senior Member Joined Jul 30, 2016 Posts 108 Reaction score 27 Sep 28, 2016 #8 Amon Mtekateka said: Acha uongo Click to expand... Uongo wapi. Wapigie usikie majibu yao. Mm nmeambiwa hvyo
Amon Mtekateka said: Acha uongo Click to expand... Uongo wapi. Wapigie usikie majibu yao. Mm nmeambiwa hvyo
Amon Mtekateka JF-Expert Member Joined Jun 4, 2014 Posts 1,225 Reaction score 333 Sep 28, 2016 #9 lucas more said: Uongo wapi. Wapigie usikie majibu yao. Mm nmeambiwa hvyo Click to expand... Kama ucku atakua amekujibu mlinz
lucas more said: Uongo wapi. Wapigie usikie majibu yao. Mm nmeambiwa hvyo Click to expand... Kama ucku atakua amekujibu mlinz
In christ alone Member Joined Jul 2, 2016 Posts 51 Reaction score 33 Sep 28, 2016 #10 Amon Mtekateka said: Kama ucku atakua amekujibu mlinz Click to expand... Hahaah kweli itakua kaota uyo jamaaaa
Amon Mtekateka said: Kama ucku atakua amekujibu mlinz Click to expand... Hahaah kweli itakua kaota uyo jamaaaa
N Ntullog Member Joined Jun 4, 2014 Posts 12 Reaction score 1 Sep 30, 2016 #11 Daah cjui lin kexho c ndo tar 1 au wame2xahau?
long neck Member Joined Aug 29, 2016 Posts 70 Reaction score 25 Sep 30, 2016 #12 mum tayar wameachia second batch
ejk Member Joined Jul 19, 2016 Posts 31 Reaction score 2 Sep 30, 2016 #13 Tuwe na subiraa tu jaman kuanzia mwanzoni mwa wiki ijayo maana kwamba juma tatu au jumanne na kuendelea
Tuwe na subiraa tu jaman kuanzia mwanzoni mwa wiki ijayo maana kwamba juma tatu au jumanne na kuendelea
ejk Member Joined Jul 19, 2016 Posts 31 Reaction score 2 Sep 30, 2016 #14 long neck said: mum tayar wameachia second batch Click to expand... Majibu yanatolewa na TCU kwanza kaka,afu badae ndo vyuo vinatoa majina
long neck said: mum tayar wameachia second batch Click to expand... Majibu yanatolewa na TCU kwanza kaka,afu badae ndo vyuo vinatoa majina
john johns Senior Member Joined Feb 13, 2014 Posts 113 Reaction score 64 Sep 30, 2016 #15 ejk said: Majibu yanatolewa na TCU kwanza kaka,afu badae ndo vyuo vinatoa majina Click to expand... kweli namm nimeona..
ejk said: Majibu yanatolewa na TCU kwanza kaka,afu badae ndo vyuo vinatoa majina Click to expand... kweli namm nimeona..
G godfaith New Member Joined Sep 20, 2016 Posts 2 Reaction score 2 Sep 30, 2016 #16 DUUUH BAADA YA WEEK MBILI DUUH
G gadi alex Member Joined Sep 29, 2016 Posts 74 Reaction score 27 Sep 30, 2016 #17 Let's be patient guys
The Ape JF-Expert Member Joined May 9, 2014 Posts 330 Reaction score 476 Sep 30, 2016 #18 Watu waliochagua mum second batch majina yameshatoka
dr nganamba Member Joined Sep 27, 2016 Posts 34 Reaction score 6 Sep 30, 2016 #19 Youngtozy1992 said: Wakuu naomba tupeane updates kwa yeyote mwenye ufaham post za second round zitatoka lin? Click to expand... Mwezi wa kumi tar12
Youngtozy1992 said: Wakuu naomba tupeane updates kwa yeyote mwenye ufaham post za second round zitatoka lin? Click to expand... Mwezi wa kumi tar12
SODOKA JF-Expert Member Joined Sep 15, 2012 Posts 1,656 Reaction score 724 Sep 30, 2016 #20 Ntullog said: Daah cjui lin kexho c ndo tar 1 au wame2xahau? Click to expand... Ntullog said: Daah cjui lin kexho c ndo tar 1 au wame2xahau? Click to expand... huu uandishi wako angalia usije kukosa second round
Ntullog said: Daah cjui lin kexho c ndo tar 1 au wame2xahau? Click to expand... Ntullog said: Daah cjui lin kexho c ndo tar 1 au wame2xahau? Click to expand... huu uandishi wako angalia usije kukosa second round