Mhh...?? Mbona point ulizopiga ni kubwa sana alaf wamezinguwa
Oky may be ni guess, itakuwa o-level uliwapigia 'D' kwenye physics coz nimeona kuna makamanda walifanya kweli advance alaf wakabaniwa chance kwa kasababu kadogo cha o-level kutowapa 'C' waliyokuwa wanaihitaji