Second Chance!!!

Second Chance!!!

Najua kwa wengi itakuwa 'No'....tatizo tunadanganyana sana wakati wa uboyfriend/girlfriend and fiance/fiancee. Most of us, we are not who we were during bf/gf and fiance/fiancee!
 
Ukweli upo moyoni,kwa comment za hapa tutadanganyana wanabodi.
 
Oooh.. Kumbe kwa waliooa na kuolewa tu!! Ngoja niondoke kimya kimya..Lol
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom