Kwa sasa mm nimeamua kukaa kimyaa na kuendelea kusubiri umri nikiopangiwa kuishi hapa duniani kama Biblia inavyosema miaka 70 au zaidi,nikiutazamia ulimwengu udumuo,kwa wale waliopata nawatakia kila la kheri huko chuoni waendako,wakifanikiwa wasitusahau kutuungisha uku mitaani sisi watoto wa masikini pale tutakapokuwa tumepambana na kuanzisha vimiladi,Tunamshukuru MUNGU kwa pale tulipofikia