Sasa nazd kupagawa mwanenu
Huku account imeanza kuniletea mapicha picha mara iload kwa muda mrefu , mara zile tick pembeni za kwenye menu zifutike mara zirudi
Yan hp sielew , nawaza lbd ndio mabadiliko yanaanza kuja jmn nione SIPA yng ya allocation sijui
Naomba Mungu tu isiwe kiashiria cha majanga kwakweli, huu mwaka ni wetu na HESLB *****