Salaam wana jamvi
kesho ndiyo siku inayotarajiwa board kutoa awamu ya pili
samahani wakuu kwa wale waliopata awamu ya kwanza account zenu zilianza kubadilika siku hiyo hiyo walipotangaza?
maana naona ujumbe ni ule ule WAIT FOR ALLOCATION PROCESS