Wewe ulikuwa wapi siku zote usiyajue hayo!?
Ukumbuke wakati Mwalimu anatoa angalizo juu ya 'utakatifu' wa ikulu alishaona wazi kuwa kuna watu najisi ndani ya chama chake sema vichwa vyetu Watanzania ni vizito kuelewa na ndio maana hatuna wa kumlaumu sasa bali sisi wenyewe!
Ukweli Nyoni Blandina huyo ni out of question (lakini nchi yetu lolote linawezekana tusije shangaa mteule ndie huyo), Maneno ni kondoo mno hawezi kupinga directives za wanasiasa na Assad ni mzuri kitaaluma ila hiyo nafasi kwake itakuwa ngumu kidogo. Kuna huyu Aziz, ambaye nafikiri alikuwa msaidizi wa Utoh na amekuwa serikalini muda mrefu na ninavyomfahamu anazo qualifications zote za kuweza kuchukua nafasi hii. Mbona yeye azungumzwi?
Assad Is more an academician and with a real solid grounds and muscles on that. But I doubt if He Can fit the post, If I were him, I would turn down the offer.