ni kweli kabisa mkuu. nadhani ile nafasi ingemfaa sana Polycarp Bishop Pengo!Dr. Assad ni mdini tu, hana chochote.
Kuna shinikizo kubwa toka serikalini kuwa ripoti iandikwe upya. Ripoti ilikamilika tangu sept3,2014 lakini ripoti ni mbaya sana kwa serikali ambapo imebainisha makosa ya kila muhusika kuanzia Katibu wa Rais, Katibu Kiongozi, wizara ya Nishati( Muhongo, Maswi), Tanesco(Mramba), wizara ya fedha(Katibu Mkuu Likwilile), BOT(Gavana na Naibu Gavana), TRA, Mwanasheria mkuu wa serikali na Waziri Mkuu. Ambao kila mmoja amebainishwa makosa yake.
Jambazi lema hawezi kukataa pesa .labda sio lema mbunge wa arusha
Cool down. Kama issue ni ya uongo maana yake hakuna mtu atakayewajibishwa wala kushitakiwa kwavile hakuna ushahidi. Wasiwasi wako wewe ni nini?Mzushi,muongo,mchochezi,mpishi wa majungu,mkaanga mbuyu....ati kuna shinikizo kubwa toka serikalini, na hilo ulijue wewe mzushi tu wala media zisijue...ati ripoti inawagusa wengi....jamani...andikeni ila msipotoshe....ole wako ukinaswa kwa upotoshaji huu muongo mkubwa wewe.....hakuna cha kujiuzulu wala nini..wazalendo wanapiga kazi kama kawa...
Kuna shinikizo kubwa toka serikalini kuwa ripoti iandikwe upya. Ripoti ilikamilika tangu sept3,2014 lakini ripoti ni mbaya sana kwa serikali ambapo imebainisha makosa ya kila muhusika kuanzia Katibu wa Rais, Katibu Kiongozi, wizara ya Nishati( Muhongo, Maswi), Tanesco(Mramba), wizara ya fedha(Katibu Mkuu Likwilile), BOT(Gavana na Naibu Gavana), TRA, Mwanasheria mkuu wa serikali na Waziri Mkuu. Ambao kila mmoja amebainishwa makosa yake.
Mapendekezo ya serikali ni ripoti iwe ya jumla na isiende mbali kubainisha makosa ya kila muhusika kwani itakuwa inalazimisha serikali kuchukua hatua, Pia inapendekezwa wapinzani nao waingizwe katika wizi huu ambapo analengwa Mchungaji Msigwa na Mh Lema, Wakati Hosea akifanya uchunguzi wake alijiridhisha kuwa Lema na Msigwa hakuna ushahidi wa nyaraka ama video unaowaingiza kwenye wizi huu, Mhongo na Maswi ndio wanaoshinikiza kuwa Lema na Msingwa walipewa hela ofisini kwa Maswi, lakini walipotakiwa kutoa ushahidi mbele ya Hosea na Utoh hawakuwa nao. Uchunguzi wa CAG kupitia taarifa za kibunge na video anayodai Mhongo ni ya Lema na Msigwa wakipewa pesa, umeonyesha Lema na Msigwa walifika ofisini kwa Maswa kwa dhumuni la kibunge na walipewa nyaraka kwa shughuli ya kibunge na sio pesa kama Mhongo alivyodai.
Hatua hii imemfanya CAG kuamua kukaa kando na uovu huu huku bahati ikimwangukia kuwa mmoja wakaguzi wa hesabu za UN,
Kwa upande mwingine limekuwepo pendekezo la kwamba Singasinga sethi licha ya kuwa kwenye uangalizi maalumu, awekwe ndani kwa kutumia documents za kugushi katika umiiliki wa 70% za IPTL kutoka Merchmar na Piperlink lakini habari za ndani singasinga kawambia wazi msimamo wake kwamba atataja vigogo wote alowapa fedha iyo kwani kati ya 200bn yeye amekula sio zaidi ya 40bn.
Zingine aliahidiwa kwamba deni la 150m usd atalipwa taratibu kila wiki 2bn mpaka hizo zaidi ya 200bn zikamilike.
Kweli we Jason, i real like it, it makes me think real hard na kutamani kuwa mkombozi wa kweli kwa kuepuka mabaya na maovu na kusongesha maisha yangu na ya wale hoehae wenzangu, iko siku tutaeleweka tu.Kuna shinikizo kubwa toka serikalini kuwa ripoti iandikwe upya. Ripoti ilikamilika tangu sept3,2014 lakini ripoti ni mbaya sana kwa serikali ambapo imebainisha makosa ya kila muhusika kuanzia Katibu wa Rais, Katibu Kiongozi, wizara ya Nishati( Muhongo, Maswi), Tanesco(Mramba), wizara ya fedha(Katibu Mkuu Likwilile), BOT(Gavana na Naibu Gavana), TRA, Mwanasheria mkuu wa serikali na Waziri Mkuu. Ambao kila mmoja amebainishwa makosa yake.
Mapendekezo ya serikali ni ripoti iwe ya jumla na isiende mbali kubainisha makosa ya kila muhusika kwani itakuwa inalazimisha serikali kuchukua hatua, Pia inapendekezwa wapinzani nao waingizwe katika wizi huu ambapo analengwa Mchungaji Msigwa na Mh Lema, Wakati Hosea akifanya uchunguzi wake alijiridhisha kuwa Lema na Msigwa hakuna ushahidi wa nyaraka ama video unaowaingiza kwenye wizi huu, Mhongo na Maswi ndio wanaoshinikiza kuwa Lema na Msingwa walipewa hela ofisini kwa Maswi, lakini walipotakiwa kutoa ushahidi mbele ya Hosea na Utoh hawakuwa nao. Uchunguzi wa CAG kupitia taarifa za kibunge na video anayodai Mhongo ni ya Lema na Msigwa wakipewa pesa, umeonyesha Lema na Msigwa walifika ofisini kwa Maswa kwa dhumuni la kibunge na walipewa nyaraka kwa shughuli ya kibunge na sio pesa kama Mhongo alivyodai.
Hatua hii imemfanya CAG kuamua kukaa kando na uovu huu huku bahati ikimwangukia kuwa mmoja wakaguzi wa hesabu za UN,
Kwa upande mwingine limekuwepo pendekezo la kwamba Singasinga sethi licha ya kuwa kwenye uangalizi maalumu, awekwe ndani kwa kutumia documents za kugushi katika umiiliki wa 70% za IPTL kutoka Merchmar na Piperlink lakini habari za ndani singasinga kawambia wazi msimamo wake kwamba atataja vigogo wote alowapa fedha iyo kwani kati ya 200bn yeye amekula sio zaidi ya 40bn.
Zingine aliahidiwa kwamba deni la 150m usd atalipwa taratibu kila wiki 2bn mpaka hizo zaidi ya 200bn zikamilike.
Mzushi,muongo,mchochezi,mpishi wa majungu,mkaanga mbuyu....ati kuna shinikizo kubwa toka serikalini, na hilo ulijue wewe mzushi tu wala media zisijue...ati ripoti inawagusa wengi....jamani...andikeni ila msipotoshe....ole wako ukinaswa kwa upotoshaji huu muongo mkubwa wewe.....hakuna cha kujiuzulu wala nini..wazalendo wanapiga kazi kama kawa...
Kama nawe huna evedence ya kupinga anachokisema you are blaffing!Toka lini wafuasi wa CDM wameanza kufatilia suala la IPTL, hiyo mbona siyo hoja kwa CDM? Suala la IPTL na fedha za kwenye Escrow account BOT ni issue ya ZZK na Kafulila nashangaa wafuasi wa CDM nao mmeanza kuidadandia mara oh ripoti imeandikwa upya!!!!!!!!!!!!!
Wewe ulikuwepo wakati Lema na Msigwa wanaenda ofisini kwa Maswi kama ulivyoandika? Kama hukuwepo unapata wapi ujasiri wa kusema ulichoandika wakati huna ushahidi? Kama ulikuwepo tutaamini vipi kuwa na wewe siyo sehemu ya huo wizi na sasa unataka kujisafisha?
Kama ripoti ikitoka Lema na Msigwa watakajwa wao wenyewe wanao uwezo wa kujisemea au umetum