FUKO LA DHIKI
JF-Expert Member
- May 8, 2011
- 463
- 146
Dr. Assad ndio anafaa post hii
Prof Assad anafaa sana kwenye hiyo nafasi
Hapa ndio wabongo tunapokosea kuleta siasa hata katika taaluma, CAG bado hapaswi kutoka katika system hiyo hiyo manake hata kama anayeondoka bado hakutumiza wajibu wake kutoka na upotevu mkubwa wa pesa ulioripotiwa katika kipindi chake.
Ni vyema sasa kukawa na majibu tofauti kwa matatizo yale yale, ebu safari hii watoe mtu nje kama sio kwa mashirika makubwa ya ukaguzi na udhibiti wa fedha. Nilitegemea Utouh angekuwa na ubunifu mkubwa katika kushauri kuhusu sheria ya manunuzi na watendaji walivyoipokea na kupiga hela hatare. Utouh amekuwa anasubiri maelekezo mpaka ya kina Kafulila ndio aingie kazini mbali na zile business as usual za kutoa hati safi.
Nyoni na Prof waendelee na majukumu yao huko walipo wachukue vijana sasa nafasi kubwa wageuze mawe yote, mpaka vyama vya siasa. Mbona Msechu amepewa NHC tofauti imeonekana kuchukua mtu aliyekulia serikalini hataleta mabadiliko, tupo wakati wa mabadiliko sasa zinatakiwa sub za maana zaidi.

Sasa wewe unataka apewe nan?
Mkuu....umeongea swala la msingi sana....CAG sio position ya kisiasa..inahitaji taalum...Assad ni mzuri kama mwalimu..ila kiukweli hawezi kua na Experience kama ya Mapatner wa Auditing firms ..kwa Mfano Bwana Mndolwa, na wengine wengi walioko kwenye mashirika ya ukaguzi( Either ya nje au ya wazawa)...
Iko haja ya kufika pahala na kukubali kwamba kuna academicians na kuna proffessionals eg Auditors.
Napenda kutanguliza kwamba Watajwa wote hapo juu ni wazuri either as academicians or wanasiasa..ila kwenye UCAG sidhani.
mkuu umeona dini tu? je ni kweli hizo sifa anazo? je kuna mwengine kapunjwa hapo? hebi tuhabarishe ambacho hakiko sawa hapo.Naona hilo gazeti lime mfagilia sana huyo muislam!