Search Engine Optimization (SEO)

justiceD

Member
Joined
Apr 21, 2013
Posts
19
Reaction score
7
How do search engines rank your web site?

  1. Title-tag
  2. Headings
  3. Image ALT-tag
  4. Hypertext Link TITLE-tag

ni muda gani search engines like google yahoo or bing zinatumia kupata content ya website?

 
post yako imekaa km vile unataka kusaidiwa homework
 
Nope i wish to know kwasababu nimejaribu kuchunguza SEO zinavyofanya kazi kama spider

mafano nikipost kitu hapa jamiiforum nikisearch muda huohuo google sikipati mpaka upite muda flani

swali langu ni muda gani unatumika kupata content za website hii sio home work kama unaona ni home work ipotezee

inawezakuwa ni research so need some help if u can
 
mkuu si unatumia meta tag?

Mfano meta tag ya revisit unaiambia search engine ije kila baada ya muda fulani

Code:
<me t a name = " r ev i s i t - a f t e r " con t en t = " pe r i od" >

labda tuseme ije kila baada ya siku mbili

Code:
<me t a name = " r ev i s i t - a f t e r " con t en t = "2 days" >

hapo umemuambia search engine.

Lakini ishu ya kurank ni tofauti kuna vitu vingi kama idadi ya watu wanaovisit, backlink za website yako kwenye website nyengine na uchache wa coding error kwenye website yako.

Kama umekodi website vibaya bot wa google akija hana muda wa kufkiri ye anaruka tu usije ukawajazia pumba unakuta website haiwi visible sana kwenye search engine
 
Kwa kawaida it takes up to 72 hours for the search engine to crawl your site.

Ila hapa sijaelewa vizuri swali lako:

How do search engines rank your web site?


  1. Title-tag
  2. Headings
  3. Image ALT-tag
  4. Hypertext Link TITLE-tag
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…