SEAGATE external (3TB) for sale

Dr Lizzy

Platinum Member
Joined
May 25, 2009
Posts
31,010
Reaction score
60,483
Seagate external, 3Terabyte.
Ilinunuliwa mwishoni mwa mwaka jana, imetumika mara moja tu so condition yake ni excellent.

Ina charger na USB yake. Bei 280k

Kama uko interested call or text 0652640205
 

Attachments

  • images.jpg
    13.5 KB · Views: 92
Sorry nimejaribu ku-upload ila napata error. You can google though...
Naomba kuuliza tena, je ipo hiyo hiyo one pc au unazo zingine coz naplan kununua hiyo kitu by the end of this month, so kama una nyingine nataka niweke order mapema.

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Storage devices kuanzia 2TB zinahitaji independent power supply.
5Volts from computer USB port haitoshi Ku run millions of transistors zilizopo ndani.
Not true nina 4TB ila haihutaji independent power ......hii external ni zile version za zaman sana siku hz prefer somethng portable ambayo hata umeme wa tanesco ukikatika bado wanakuwa wanaweza ku access device yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…