Scrub na massage havinitesi tena

Nakwambia uhanisi huo unapiga hodi, mwanamke uliyemzoea huwezi ksimamisha hovyo lakini siyo kwa wale mabinti mnajifungia ndani wawili tu.

Huku nnafanyiana
 
We umezoeaje wakati hata waliooa wakiona sketi tofauti na mkewe wanatamani
 
Huwezi kujifanyia scrub mwenyewe hadi uende kwa hao wadada JEKI

kama kila mtu ataamua kuchukua ushauri wako ram watu watakula wapi? hata hivyo raha ya hii kitu ufanyiwe, pia hizi ni fani za watu, hutakiwi kuzivamia tu.
 
Last edited by a moderator:
JEKI wewe sio mmoja wapo...?

sijafikia hicho kiwango cha uvivu uliopindukia, kama mtu hata kusafisha miguu hawezi, sijui kazi gani ataweza, au ndo starehe zenyewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…