EllySkyWilly
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 2,204
- 2,086
Yaani kumbe biology ulipata F, mkuuJapo biology nikipata F lakini hata Mimi nimepata mashaka na mleta mada
Y
Yaani kumbe biology ulipata F, mkuu
Sasa mbona biology ni kama Historia tu, alafu unajofunza vitu unavyo viona na unavifahamu, kwasababu vyote vimo kwenye mwili wako.Ndioo.mbona kawaida tu
Sasa mbona biology ni kama Historia tu, alafu unajofunza vitu unavyo viona na unavifahamu, kwasababu vyote vimo kwenye mwili wako.
kujua kutamka helufi na kuelewa mambo ni vitu viwili tofauti mkuu. Kuna watu wazungumza kiingereza na hawajui kuandika hicho kiingereza. Kwa hivyo mimi sioni tatizo kwa hao watu.Ni kweli .Ila Kuna maprofesa wanashindwa KUSOMA hata alfu
kujua kutamka helufi na kuelewa mambo ni vitu viwili tofauti mkuu. Kuna watu wazungumza kiingereza na hawajui kuandika hicho kiingereza. Kwa hivyo mimi sioni tatizo kwa hao watu.
Lugha yoyote duniani inavitu vinne.
Kuandika, kusikiliza, kusoma, na kuzungumza. Mfano unaweza jidai unajua kuzungumza kiingereza unapokutana na mtu ambaye hajui. Siku ukikutana na mwamerika ukaishia kuitikia tu YES, YES
hahahahaaaaaaa, usoma mpaka la ngapi unatuuliza maswali ya darasa la pili daaaVipi niking'atwa na mbu ambae ametoka kumng'ata muathirika wa HIV?
Nmeishia darasa la pili B mkuu.hahahahaaaaaaa, usoma mpaka la ngapi unatuuliza maswali ya darasa la pili daaa
hahahaaaaaaaaa,Nmeishia darasa la pili B mkuu.
Naomba tu unielimishe.
ππππAu.
Mimi najiamini halafu mzee unatumbukiza, baada ya dakika tano pwaaa na majuto yanaanza. Ukihisi bomba linawasha unapoteza kabisa muelekeo wa kifikra
Kwa maana hii si wengine wataahirisha kununua helmet watajipakaa mafuta!!!?na hata akiwa na kidonda bado ni ngumu kumuambukiza mtu kwasababu viganja vyake vitakuwa na mafuta ya scrub na hayo mafuta yatakuwa juu ya kidonda hivyo kuweka uzio fulani wa kidonda kushikana moja kwa moja na ngozi ya uso wa mteja.
Wapimwe afya kila miezi mitatu na wawe na vyeti . Huwa wanakuwa intimacy Sana. Kuna magonjwa kama hepatitis A na B na mengineyoBasi wafanya scrub wawe wanavaa Gloves....kuondoa hii sintofahamu
Wapimwe afya kila miezi mitatu na wawe na vyeti . Huwa wanakuwa intimacy Sana. Kuna magonjwa kama hepatitis A na B na mengineyoBasi wafanya scrub wawe wanavaa Gloves....kuondoa hii sintofahamu