Scrub na maambukizo ya UKIMWI

Scrub na maambukizo ya UKIMWI

Ni kweli .Ila Kuna maprofesa wanashindwa KUSOMA hata alfu
kujua kutamka helufi na kuelewa mambo ni vitu viwili tofauti mkuu. Kuna watu wazungumza kiingereza na hawajui kuandika hicho kiingereza. Kwa hivyo mimi sioni tatizo kwa hao watu.
Lugha yoyote duniani inavitu vinne.
Kuandika, kusikiliza, kusoma, na kuzungumza. Mfano unaweza jidai unajua kuzungumza kiingereza unapokutana na mtu ambaye hajui. Siku ukikutana na mwamerika ukaishia kuitikia tu YES, YES
 
Namaanisha hatuwezi wote tukajua biology.
kujua kutamka helufi na kuelewa mambo ni vitu viwili tofauti mkuu. Kuna watu wazungumza kiingereza na hawajui kuandika hicho kiingereza. Kwa hivyo mimi sioni tatizo kwa hao watu.
Lugha yoyote duniani inavitu vinne.
Kuandika, kusikiliza, kusoma, na kuzungumza. Mfano unaweza jidai unajua kuzungumza kiingereza unapokutana na mtu ambaye hajui. Siku ukikutana na mwamerika ukaishia kuitikia tu YES, YES
 
Vipi niking'atwa na mbu ambae ametoka kumng'ata muathirika wa HIV?
 
na hata akiwa na kidonda bado ni ngumu kumuambukiza mtu kwasababu viganja vyake vitakuwa na mafuta ya scrub na hayo mafuta yatakuwa juu ya kidonda hivyo kuweka uzio fulani wa kidonda kushikana moja kwa moja na ngozi ya uso wa mteja.
Kwa maana hii si wengine wataahirisha kununua helmet watajipakaa mafuta!!!?
 
Back
Top Bottom