Screenshot nokia e5

kalendi

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2012
Posts
1,387
Reaction score
645
Habari wanajamvi!

Naomba msaada wa kujua namna ya kupiga picha ya screenshot kwenye simu ya nokia e5
Naomba kuwasilisha!
 
Habari wanajamvi!

Naomba msaada wa kujua namna ya kupiga picha ya screenshot kwenye simu ya nokia e5
Naomba kuwasilisha!

Screenshot is the biggest snitch in the world !!

I can't teach you how to capture it
 
Kana ina playstore fanya installation ya screenshot applications zIpo nyingi sana.
 
Hakuna screenshot kwenye huo mkweche.

Hakika Chief anastahili kila pongezi kwa hili jukwaa hasa kwa watumiaji wa mikweche kama huu wa kwangu(nokia e5).
Nimejaribu screeshot imekubali kutokana na maujuzi aliyonipatia.

Hongera sana Chief!
 
Nimejaribu tayari nimeinstall hiyo mojawapo.

Lakini najaribu kuatach picha hapa nashindwa.

tafuta image hosting yoyote mfano

Imgur

then upload picha yako huko then utapewa adress ya picha mfano

m.imgur.com/pichayangu.jpg

tehn njoo hapa jamiiforums tumia tag ya img kueka picha
[img]adress ya picha[/img]
mfano
[img]http://m.imgur.com/pichayangu.jpg[/img]
 

Asante ngoja nijaribu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ