deogan
JF-Expert Member
- Sep 7, 2011
- 399
- 46
Safi na shukrani mkali. Hii kitu ina 2048x1536 pixels. Mfano simu gani boss? Nimesikia Galaxy S5 itakua hivyo.
Vivo xplay 3s
Safi na shukrani mkali. Hii kitu ina 2048x1536 pixels. Mfano simu gani boss? Nimesikia Galaxy S5 itakua hivyo.
Kaka kusema low end au high Hivi ni viwango ambavyo tunajiwekea kutokana na bei, specification na uwezo kwa ujumla wa simu. Kwa sasa tunaweza kusema hivi.
Simu zenye kioo 480x800 kushuka hizi ni low end. Simu zenye ram 512mb ni low end simu za cortex a7 dual core kushuka ni low end mfano wa low end kwa lumia ni.
Lumia 520, lumia 620 na lumia 720 zote zina kioo cha 480x800 na ram 512 ba hata bei zake ni nafuu.
Midrange kwa sasa tunaweza sema zina kioo cha hd na ram ya 1gb na processor za cortex a15 dualcore au ikiwa ni cortex a7 basi angalau iwe quadcore kwa lumia simu za midrange ni
Lumia 820, 920 na lumia 1320.
High end hizi zinakua na full hd yaani 1080 na pia zinakua na ram 2gb au 3gb na processor zake ni quadcore cortex a15 kupanda.
Mfano lumia 1520.
Ila unaweza kuzichanganua zaidi kama vile low-midrange au mid-highend
Mfano lumia 1020 ina feature za kati na za juu ina processor na kioo cha kawaida ila ina ram kubwa na camera nzuri zaidi duniani ya simu hivyo kwenye highend ipo na midrange ipo simu kama hii unaweza iita mid to high end.

Elimu kama hiyo hapo juu inahitaji kichwa kizuri, maana specs ni nyingi mno na zinachanganya kinoma!
Maisha ya Karne hii, mpaka usome upate A-B-C ya unachokitaka, vinginevyo utakuwa unaingia choo cha jinsia tofauti kila mara!
Mfano; ukitaka flat screen TV ina bidi uzifahamu utendaji wake na ubora wake, ukitaka gari ndo usiseme, simu huko ndo acha kabisa, Bodaboda ndo balaa! Shule haikwepeki kila utakapo taka kununua kitu kwa matumizi yako ni bora ukauliza wataalamu wanao aminika maana matapeli nao ni wengi mno na bidhaa zao za kichina.
kaka hizi ni flagship za 2011 ambazp zimesumbua hadi 2012 mwanzoni. galaxy s2 (480x800), nokia n9 (480x800) na wengine. hivyo technolojia inakua kwa kasi sana.
mwakani tutakua tunasema simu kama s3 na lumia 1020 ni low end.

Sifahamu kaka wanapouzachief-mkwawa kusema ukweli nilikwisha ingizwa mjini na mafanyabiashara feki yanayo uza vitu feki. Siku hizi nakimbilia maduka maalumu ya mawakala walioruhusiwa nikitaka kununua kitu genuine regardless the price.
Chief ninaweza pata wapi kitu Techno Phantom A111 (Techno M9)? Na bei yake ni vipi?
Mfano lumia 1020 ina feature za kati na za juu ina processor na kioo cha kawaida ila ina ram kubwa na camera nzuri zaidi duniani ya simu hivyo kwenye highend ipo na midrange ipo simu kama hii unaweza iita mid to high end.
Hii kitu nina hamu nayo kwa sababu ya mapicha, ngoja kibubu changu kijae jae.
kikijaa itakua imeshatoka nyengine maana soon nokia watarelease flagship za 2014
Nokia hiyo unayoongelea ishakufa, hakuna any incoming smartphone flagship no matter what tabloids u've been reading!! Inakuja Nokia Lumia 2020 ambayo ni Tablet (8 inch)kati ya 24-27 February kwenye MWC 2014!!kikijaa itakua imeshatoka nyengine maana soon nokia watarelease flagship za 2014
Kaka chief-mkwawa niruhusu nikatae kwamba soon Nokia wana release Flagship ya 2014. Labda "soon" yako inamaanisha miezi 5+.
Kaka tokea Lumia 1520 itoke ata miezi mi-4 haijapita. Unadhani wanaweza toa kweli mapema hivi?
Labda kama suprise, ila tetesi zilizopo ni Normandy (Nokia X with Kit Kat) na Lumia 929 na Lumia 1520 mini yenye dual sim baasi.
Ndhani Nokia flagship ya mwisho ni 1520 ya mwaka jana baaasi,
kaka 1520 ni ni phablet sawa na note 3 hii ni niche product si kila mtu yupo comfortable kushika simu ya ich 6. hivyo haizuii nokia kutoa simu. labda dili tu la kuuzwa microsoft lizuie ila kuna simu/tablet 7 zilitakiwa kutoka mwanzo wa mwaka huu.
1. nokia moneypenny ambayo itakua na line mbili wengine wanasema itaitwa lumia 630
2. nokia normandy itayorun android
3. successor wa lumia 1020 (lumia 1820)
4.nokia icon aka lumia 929 hii ni version ya 1520 yenye inch 5 tetesi inatoka mwezi wa pili.
5. nokia spinel
6. tablet ya inch 8
7. goldfinger (flagship)
though lumia 929 itakayotoka ina kila sifa ya flagship lakini nokia watatoa flagship lumia 929 imeleak itatoka mwezi wa 2 tarehe 5. lumia 929 itakua na kioo inch 5 full hd, snapdragon 800 na ram 2gb.
na device ninayoisubiria zaidi ni hii goldfinger kama inavyojieleza itakua na kioo cha ajabu cha 3d ambacho hakijawah tumika kwenye smartphone yoyote na pia utaweza itumia bila kugusa kioo. pia kuna tetesi nokia wameshafanikiwa ku implement ile technolojia ya kuchaji simu kupitia kioo ambacho kina act kama sola.
hii nusu mwaka itakua busy sana kaka
Heshima mbele kaka. Natamani kuona Nokia anawapiga chini hawa Samsung.
Heshima mbele kaka. Natamani kuona Nokia anawapiga chini hawa Samsung.
Hatujajua acquisition ya Nokia kwa Microsoft imefikia wapi. Unajua kusema ukweli, kama wewe ni mtumiaji mzuri wa Android (umetumia zaidi ya mwaka mmoja katika device zaidi 2 au 3 tofauti), ukianza kutumia leo Nokia Lumia yenye Windows 8 OS, unaweza kujilaumu ulikua wapi tokea kipindi cha zamani. Na vice versa yake, mtumiaji wa Nokia Lumia akianza Android, hatachukua week 2 atarudi tena katika Lumia.
Lumia zikipewa mwaka mzima mbele, zinampiku Galaxy hivi hivi... Microsoft tu ndio atazima hii ndoto. Hawa NOkia nao sijui hawakuwaza mbali au??
kaka profit ya android 95% anaipata samsung na asilimia 5 wanagawana waliobakia (sony, lg, htc, lenovo, huawei, zte, xiaomi, blu, micromax na wengine).
huko kwenye windows phone japo nokia anapewa 1b usd kwa mwaka ila kila siku part ya device ndo inatia hasara. miaka miwili mfululizo inatia hasara na hakuna dalili ya faida even nokia kauza lumia milion 8.8 na kupewa 1b usd lakini still imeingiza hasara hio part ya device.
at same time part ya nsn inafanya vizuri miaka miwili mfululizo inaingiza faida, part ya here map inaingiza faida nayo japo ndogo na pia cto office kwenye advance technology pia kunaingiza faida. hata ingekua wewe no way ungeuza tu part ya device maana haina future soko la simu ni samsung na apple tu.
nokia anafanya sana research tayari kashajua mwenendo upo vp sasa hivi ana graphene ana morph tayari tushaona mambo nokia aliyofanya ya graphene na kuna tetesi morph nokia kaweza kuitengeneza na itatoka kwenye smartwatch mwaka huu. kabla kusema nokia hana vision hebu tuone atafanya nini baada ya kuuza part ya device
Hatujajua acquisition ya Nokia kwa Microsoft imefikia wapi. Unajua kusema ukweli, kama wewe ni mtumiaji mzuri wa Android (umetumia zaidi ya mwaka mmoja katika device zaidi 2 au 3 tofauti), ukianza kutumia leo Nokia Lumia yenye Windows 8 OS, unaweza kujilaumu ulikua wapi tokea kipindi cha zamani. Na vice versa yake, mtumiaji wa Nokia Lumia akianza Android, hatachukua week 2 atarudi tena katika Lumia.
Lumia zikipewa mwaka mzima mbele, zinampiku Galaxy hivi hivi... Microsoft tu ndio atazima hii ndoto. Hawa NOkia nao sijui hawakuwaza mbali au??
Hali ipoje kwa sasa mkuu kuhusu takwimu za mauzo kati ya makampuni hayo ma nne? I.e watengenezaji wa lumia, iphone, samsung n.k?