Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 31,149
- 88,837
Habari wakuu wa Jukwaa.
Leo ninaomba kushare vitu vichache kuhusu vioo vya simu tunazonunua. Sometimes inaweza kua applicable katika Tablets au Phablets (Between Phone and Tablet).
Nisipoteze muda wako, tuanze kucheki:
1. Screen size.
Utakuta katika maelezo ya simu unaambiwa kioo ni inch 3.5, au 4, au 4.5. Mara zingine wanaandika 4". Hiyo sign ya " ndio inamaanisha inch. Na kinapimwa kioo tu diagonally, kutoka kona moja ya let's say ya juu kulia hadi ya chini kushoto. Wapo wanaopenda screen kubwa na wengine ndogo, so choice ni yako.
2. Type ya screen.
Hapa kuna classification kubwa sana na it is very complex. Tujaribu iweka kwa kifupi wazee kwa kuzitaja aina chache:
-TFT: Kirefu chake Thin Film Transistor technology. Screen za TFT LCD (Liquid Crystal Display) zinatoa quality nzuri ya image na resolution nzuri, na zinatumika sana katika simu za bei ndogo na zile low end phones. Hasara zake kubwa ni kutumia sana power (hivyo they're not battery friendly), zina narrow viewing angle na hazioneshi vizuri kwenye mwanga wa jua. Tecno wanatumia.sana hizi screen.
-Capacitive touch screen LCD na Resistive touch screen LCD: Ukikutana na hivi vitu, naomba usiumize sana kichwa. Hizi ni aina za screen zinavyokuwezesha wewe uingize data kiurahisi. Simu za siku hizi karibia zote zinatumia technology ya Capacitive touch screen kuliko Resistive. So hii tuiache tu, coz nobody anaeweza kuchagua, washatuchagulia wao.
OLED- Kirefu chake ni Organic Light Emiting Diode. OLEDs ni nzuri kuliko LCDs, kuanzia fast response ukibonyeza, color na image quality nzuri, viewing angle kubwa, brightness kubwa pia sio nzito sana kama LCDs.
OLED zimefanyaliwa development kila muda. Kuna AMOLED (Active Matrix Light Emitting Diode), AMOLED plus, Super AMOLED, Super AMOLED Plus erc. Ila zote ni advancements za OLED. Samsung Galaxy S series wanazitumia.sana hizi screen.
Retina Display- Hii term inatumiwa sana na Apple Inc katika products zao. Wanaziita hivi kwakua pixels za hii screen cannot be identified by human eye, na ni sharp and extremly brilliant display.
AMOLED CBD Hii technolojia ni ya Nokia only ambayo inamaanisha AMOLED Clear Black Display, inayo results in deep blacks. Hizi CBD displays zina block kuhakisiwa kwa mwanga so zinaonesha vema.sana.ukiwa nje, ata kama kuna.mwanga mkali wa jua.
Mobile BRAVIA Engine-- Hii mali ya Sony. BRAVIA, kirefu chake 'Best Resolution Audio Visual Integrated Architecture', ilikua inatumika kwenye TV za Sony tokea kitambo, ila.wakaamua kuileta hii tech katika simu, kama unavoona neno Mobile hapo.
Iko njema nayo, ina brightness nzuri na image quality pia. Hatuwezi ongelea mengi maana ukinunua Sony Xperia huna.chaguo.
NOVA- Hii ni chimbuko la LCD screen technology inayotumiwa na LG. Inadaiwa kuproduce brightness nzuri na energy efficiency pia. Pia mnunuzi wa simu za LG.hana.chaguo, utaikuta tu ktk simu yako.
IPS display In-Plane switching smartphone screens zina rangi nyingi na bora zaidi, pia zina viewing angle kubwa kuliko screen type nyingine zote. Hizi screen gharama sana ndio maana tunazikuta katika simu za gharama (eg Apple iPhones na Lumia) na high end phones. Screen hizi pia zinakuwezesha ku-zoom in bila kupoteza ubora wa picha yako kwa sana.
N.B: Viewing Angle: Hili neno tumekutana nalo mara kwa mara hapo juu. Kwa kifupi, ili linaongelea uwezo wa simu yako kuendelea kukuonesha maneno, au picha katika angle mbali mbali ya macho yako. Kuna.baadhi ya vioo vya simu, ukitaka usome vema message ni lazima uwe unaiangalia kwa juu hiyo screen (vertically), yaani ukiangalia kutoka pembeni.kidogo tu, unaona rangi rangi tu ila huwezi kusoma.
3. Resolution ya Screen: Tuzungumzie pixels kwa ujumla, color na pixel density (ppi).
Kwenye pixels utaonaga kuna namba zinaoneshwa, mfano: 640 x 960 pixels. Hii inaonesha idadi ya pixels zilizopo kwenye X (Ulalo) and Y (Wima) plane katika screen yako. Mara nyingi hiyo namba ya pili baada ya x ndio ina umuhimu hapa, na ndio italeta High Difinition (Namba ya pili ikiwa 720), full HD ikiwa 1080,
Swala la colors, jitahidi namba iwe kubwa uwezavyo. Common ni 16 Million colors, ila zipo chache. Jitahidi upate kubwa uwezavyo.
Pixel Density - Hii inaweza kupimwa as pixels per inch.(ppi) au pixels per centimeta (ppcm), ila zote ni njia.za kupima resolution za.screen yako. Sidhani kama kuna.mtu yupo interested na formula ya kupata pixel density, ila jitahidi simu yako iwe na ppi 210 kwenda juu. Uta enjoy simu.yako.
4. Protection ya screen yako: Kila mtu hapa atataka cm ambayo ata akiidondosha, still iendelee kupiga mzigo. Kuna mechanism na technolojia kibao kusisitiza protection ya kioo chako. Mfano LG Flex imekuja na kioo cha curve, yote kusaidia kioo chako kisivunjike pindi kikidondoka direct katka plane surface eg sakafu, pia kuna scratch resistant screens, water proof screens na GORILLA Glass Tech inasaidia pia kusisitiza ugumu wa screen zetu.
5. Uwezo wa Multi-touch: Simu kibao zina offer uwezo wa multi-touch, ila zinazidiana idadi ya fingers.
Multi-touch ni nini? Neno la English tu ilo. Kwamba unaweza ku click screen yako kwa vidole vingapi kwa pamoja na kila kimoja kikafanya kazi ulichokituma. Kuna zingine maximum 4 fingers, 6 fingers au hadi 10 fingers. Hii inawasaidia wapenda kucheza games, kuplay vitu kama piano, etc.
PS: Mambo ni mengi wakuu, ila kuna.vitu vingine hapa chini unaweza visikia sikia unapokuja kusoma mambo ya screen za simu.au tab:
QVGA: quarter VGA (240×320 pixels)
HVGA: half VGA (320×480 pixels)
WVGA: wide VGA (480×800 pixels)
FWVGA: full wide VGA (480×854 pixels)
nHD: one-ninth high definition (360×640 pixels)
qHD: one-quarter high definition (540×960 pixels)
720p: 720p Resolution screens (720×1280 pixels)
2K na 4K kwenye simu hazijaanza kutumika, so sina.maujanja sana, ila ni resolution kubwa zaidi ya Full HD. 2K ni mara mbili ya full HD (yaani: 1080p x 2) na 4K mara 4 yake. Kwa sasa hii tech ipo kwenye TV za bei.chafu huko.
Penye Makosa nirekebishe.
Shukrani.